Vifo vya watu maarufu Iringa vinastusha sana!!

Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.

Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.

Sio vibaya kuwataja majina ili tuomboleze hii misiba!! Iringa askari wanapotea kimaajabu ajabu sana!! Msiba wa Afande Kakamba ulinisikitisha sana!!!
 
Kakamba alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya tumbo. Kwa ivo ni kama ilihisiwa ni Kansa. Alikuwa ni RPC anayeongea kama ana haraka lakini maamuzi yake mengi yalikuwa ya busara.
 
Juzi kati nilikwenda kumtembelea rafiki yangu anakohoa, anatapika, anaishiwa pumzi, ana homa na zaidi ya yote anaishiwa nguvu. Kaambiwa kwenye Hospitali aliyokwenda kwamba hawajaona ugonjwa wowote.

Kuna diwani kaniambia alikuwa kwa siku tano nyumbani kwake anadungwa sindano za kristapeni (Benzyl penicillin Injection) na dawa zingine mbali mbali.

Sielewi ni kwa nini magonjwa wanayoumwa watu hayasemwi.
 
Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.

Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Covid 19 bado ipo, tuendelee kuchukua tahadhari tunazoelekezwa na wataalamu wa AFYA #zakuambiwachanganyanazako# RIP RIP marehemu wote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi sijaelewa mantiki ya uzi unless kauandika kwa wanaoishi Iringa, alipaswa awataje na sisi wadau wa Iringa tuliombali tupate taarifa
Lakini nimesema ni kwa nini siwataji. Pia habari yenyewe ni kuonesha kwamba hapa Iringa tumepoteza watu kadhaa ndani ya kipindi kifupi isivyokawaida!!
 
Juzi kati nilikwenda kumtembelea rafiki yangu anakohoa, anatapika, anaishiwa pumzi, ana homa na zaidi ya yote anaishiwa nguvu. Kaambiwa kwenye Hospitali aliyokwenda kwamba hawajaona ugonjwa wowote.

Kuna diwani kaniambia alikuwa kwa siku tano nyumbani kwake anadungwa sindano za kristapeni (Benzyl penicillin Injection) na dawa zingine mbali mbali.

Sielewi ni kwa nini magonjwa wanayoumwa watu hayasemwi.
Acha tu mkuu wanasiasa wanaangamiza watu sana kwa kauli zao za hovyo!! Covid19 badi ipo na wala hatujafikia peak ya maambukizi lakini kina BASHITE wanakwambia imeisha.
 
Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.

Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Sasa unaficha nini wakati umewataja tayari.Hao wanafahamika kwa wakazi wa Iringa.
 
Back
Top Bottom