Vifo vya watu maarufu Iringa vinastusha sana!!

Sasa unaficha nini wakati umewataja tayari.Hao wanafahamika kwa wakazi wa Iringa.
Kwa watu wa Iringa sawa lakin si kwa kila mtu. Kwa mfano mtoto anayebakwa anapofichwa uso wake siyo kwamba kwa wale walioshuhudia au ndugu zake hawamjui.
 
Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.

Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Sasa tutaaminije kama maarufu? Askari akiwa rafiki yako anakuwa maarufu tayari? Kwa jinsi kichwa cha habari kilivyo basi ingependeza ungewata, bila hivyo uzi unapungua uzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawachukui tena tahadhari kwa sababu wamejisahau kuwa Corona ipo!
Hivi kama Kiongozi Mkuu amesema hakuna tena corona Tanz unafikiri nn kingetokea?? Nae kaonekana Kanisani Chato na juzi tena Dom yeye na Wote waliokuwepo maeneo hayo hakuna hata mmoja aliyevalia BARAKOA. Hii alifanya makusudi kuwaaminisha kuwa corona imepotea ghafla Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio vizuri kutaja majina ya wafu wa watu.

Lakini jana tena tumempoteza Askari Polisi maarufu sana aliyekuwa ana marafiki wa kila rika na hali. Siku tano Kabla yake aliyekuwa Dereva wa OCD naye alipoteza maisha katika staili inayofikirisha sana.
Hivi kwanini good cops wana go wanabaki rogue cops?
 
Kwa takribani siku kumi zilizopita vimetokea mfululizo vifo kadhaa vya watu maarufu hapa Iringa hadi kuzusha maswali mengi sana.

Inawezekana Mungu ameamua kuchukua watu maarufu wanaofahamika hapa Iringa ili kuleta watu wengine maarufu wa kizazi hiki. Lakini inafikirisha sana!!
Watu maarufu kina nani
 
Kwa hiyo huu ugonjwa unadeal na watu maarufu tu ?
Makonda,wauza nyanya sokoni,bodaboda,watu wa mikusanyiko kila mara wao hawahusiki au ?
Hebu tulete basi na majina yao.
 
Back
Top Bottom