Vifo vya Wanafunzi Arusha: TBC mmetutia Aibu kubwa

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,490
96,054
Kwanza nianze kuwasifu na kuwapongeza CLOUDS MEDIA kwa kuwa na moyo wa kizalendo kwa kusitisha huduma za matangazo ya kawaida kufuatia msiba wa kitaifa tuliopata watanzania.

Pili niwalaumu na kuwashangaa TBC kwa kushindwa kulitambua hilo na kuamua kuendelea na vipindi vyenu kama kawaida.
 
Kwanza nianze kuwasifu na kuwapongeza CLOUDS MEDIA kwa kuwa na moyo wa kizalendo kwa kusitisha huduma za matangazo ya kawaida kufuatia msiba wa kitaifa tuliopata watanzania,pili niwalaumu na kuwashangaa TBC kwa kushindwa kulitambua hilo na kuamua kuendelea na vipindi vyenu kama kawaida.
Kumbe unaangaliaga tbc kimya kimya eeh!
 
TBC hao mimi nimeacha kuwaangalia tangu mwaka ule walipokuwa wanapiga taarabu wakati meli yetu imezama kule Ras Nungwi. Nilitegemea huyu Dr akienda pale atapabadilisha kumbe siyo. Loooh inabidi wawe sensitive na matukio ya kitaifa!!!
 
Back
Top Bottom