Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,268
msimbishie ZeMarcopolo ni kweli Katiba ya mwanzo ya CDM ilikataa Dodoma isiwe Makao Makuu ta TZ, Jengo la Chimwaga liwe Chuop kikuu, JKT ifutwe haina tija nkze marcopolo ukilala unawaza CDM, ukiamkia unaiwaza, maana comments zako wewe lazima uitaje CDM. pole sana, sasa kwa hili CDM imekataa vipi watu kujiunga na jkt? sema tu unapoamua kuingia jeshi unakabidhi na roho yako.
Nawshukuru Zitto. Halima Mdee na wengineo km Livingstone walioenda JKT ndio watatueleza ukienda huko ni kukifuata kifo
Hata miaka yetu walikuwepo MASELULE kibao ambao waliJONGO JKT na hata wakifuatwa Maofisini waliacha kazi kisa JKT ni kwenda kufa.
JKT zote zina Hospital na kuna FreeDuty mradi uonyeshe Cheti cha Daktari lakini huwezi pewa adhabu wakati unakilema au maradhi yanayojulikana
Wanaochochea JKT ifutwe bado mpo maana hata viboko Shule au Mchakamchaka hamtataka ila mfaulu tu
Last edited by a moderator: