Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Uzito wa ya Kwako upo wapi .........?Una hoja nyepesi mpaka nashindwa kukujibu
Ivi JKT unajua wanaenda kujifunza nini labda tuanzie apo?
Uzito wa ya Kwako upo wapi .........?Una hoja nyepesi mpaka nashindwa kukujibu
Ivi JKT unajua wanaenda kujifunza nini labda tuanzie apo?
Hongera kwa comments zako zenye akili.Nikweli kabisa watoto wanakufa, wiki iliyopita nilipata taarifa kambi ya Tanga walifariki wawili mmoja katoka shule ya pungu mwingine jitegemee. Chamsingi wahusika wajaribu kuwapa zoezi kulingana na background za hawa vijana, haiwezekani mtoto toka anaanza kukua hajawahi kutembea kwa miguu umbali wa kilometa moja, anapanda daladala au kupelekwa na gari shuleni, maziwa aliyonyonya muda mrefu ni ya kopo chakula chake ni chips then ghafla anapewa mikimiki kama yakwetu sisi enzi zile za mwalimu ambao ugumu tulishauzoea maana tulilima kwa mikono na shule tunatembea km kadhaa na chakula chetu ilikuwa dona kwa kwenda mbele. kwakweli watoto hawa inabidi waandaliwe toka chini la tutaweka mazingira ya kuogopa jeshi ingawa ni jambo zuri sana kwenda jeshini.
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.
Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.
Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.
Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?
Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.
Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.
kwani walieonda walifanya application au walichaguliwa moja kwa moja mashuleni mnisaidie kwa hilovolent non fit injuria
Uzito wa ya Kwako upo wapi .........?
Sina haja ya kukujibu hainisaidii kitu mmekaa Kisiasa siasa sana eti mnajifanya wazalendo ..........!Jibu swali ulilo ulizwa au unazani JKT wanaenda jifunza kupika?
Ni sawa na Batalioi yetu inayoenda DRC ikirudi na watu pungufu uhoji kwa nini wengine wamekufa?
Kwani DRC wanaenda kusoma?au sherehe?
Halafu tofautisha mafunzo na Kazi, wale waliopelekwa DRC ni wako kazini, hao wengine wapo mafunzo, jifunze kutofautisha mambo kwa kufikiri kutumia ubongo......Jibu swali ulilo ulizwa au unazani JKT wanaenda jifunza kupika?
Ni sawa na Batalioi yetu inayoenda DRC ikirudi na watu pungufu uhoji kwa nini wengine wamekufa?
Kwani DRC wanaenda kusoma?au sherehe?
Kama huna jibu nakusaidia kama ifuatavyo
Ulinzi wa Taifa
Mbinu za kijeshi ndo apo suala la kufa hutokea,bila shaka utakuwa umeielewa.
- Kuwapa vijana mbinu za kijeshi wawe Jeshi la akiba, kuwaandaa vijana watakaofaa kujiunga na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama.
- Kuwaandaa vijana kusaidia katika majanga mbalimbali, mfano mafuriko, moto na ajali mbali mbali.
Sio ugomvi ni kuelimishana maana vijana wa siku izi mnazani JKT ni kama kwenda shule ya boarding
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.
iwe wamechaguliwa, iwe wamwaliapply hakuna mtu yeyote anayeweza kumlazimisha mtu au aliyelazimishwa kwenda. kitendo cha wao kukubali kwenda by implication wameridhia na ni acceptance tosha kwa offer ya JKT na maxim hiyo ina apply moja kwa moja au kama una maenlezo tofauti waweza kunisahihisha na kunifundisha mkuukwani walieonda walifanya application au walichaguliwa moja kwa moja mashuleni mnisaidie kwa hilo
na waliokwepa kwenda kuna hatua zozote zilichochukuliwa juu yaoHakuna mwanafunzi aliyeomba bali walichaguliwa moja kwa moja kutoka mashuleni
siwezi kukubaliana na wewe moja kwa moja......kuna sheria yoyote kuhusiana na mafunzo hayo.....na walipewa uhuru wa kuchagua kwenda au kutokwendaiwe wamechaguliwa, iwe wamwaliapply hakuna mtu yeyote anayeweza kumlazimisha mtu au aliyelazimishwa kwenda. kitendo cha wao kukubali kwenda by implication wameridhia na ni acceptance tosha kwa offer ya JKT na maxim hiyo ina apply moja kwa moja au kama una maenlezo tofauti waweza kunisahihisha na kunifundisha mkuu