Vifo JKT vyaongezeka

Vifo JKT vyaongezeka

Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.

Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.

Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.

Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?

Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.

Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.

Kama ni propaganda za CDM, mbona makamanda wao wabunge walienda JKT hivi karibuni!
 
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.

Intake inayofuata na wewe umo, jiandae ukafundishwe uzalendo.
 
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.

Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.

Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.

Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?

Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.

Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.

Acha upuuzi, This is serious!
 
Nataka tu ieleweke kuwa ni watu wachache sana huwa wanafanya medical check up na kujaza zile kadi kwa uhakika. Tunashuhudia jinsi gani mtu anawasilisha form kwa Daktari ajaze Ok na kubandika mihuri na sign tu halafu mambo chee na hii ni asilimia 90% ya fomu zote za medicala ambazo taasisi hazina hospitali yake. Nilitegemea kuwa labda kwa Jeshi wangelazimisha kama wa Dar wapate kupimwa afya kupitia Lugalo. Taasisi binafsi siku hizi wana hospitali zao na ukiajiiriwa unalazimika kupima na majibu yanaletwa confidential kwa taasisi. Kila kitu dhaifu na lege lege tu.
 
Kwenye mazoezi ya kijeshi vifo i jambo la kawaida labda kama itakidhiri wakufunzi huwa wanacome up na maamuzi fulani ivi
Enzi zetu walikufa watu 6 mpaka mafunzo yanaisha
 
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.

Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.

Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.

Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?

Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.

Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.
i realy dought about your PERSONALITY, PROFESSIONALIZATION and STATE OF MIND
 
Kwenye mazoezi ya kijeshi vifo i jambo la kawaida labda kama itakidhiri wakufunzi huwa wanacome up na maamuzi fulani ivi
Enzi zetu walikufa watu 6 mpaka mafunzo yanaisha
Kwa hiyo unasifia vifo jeshini................?:A S 39:
 
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.

Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.

Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.

Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?

Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.

Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.

Akili kama hizi ni hasara kubwa sana kwa nchi,no wonder ur IQ is approaching negative
 
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.

Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.

Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.

Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?

Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.

Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.

Nimeipenda hiyo nyekundu......yes!
 
Wana jamii naomben 2wa waelewa pale 2napo toa taarifa kwa wana jamii ziwe zina ukweli ndani yake.Nac longolongo..
 
kuna sehemu mtoa mada kajiita yeye ni chadema?
kila anaekosoa kitu ni chadema?
think beyond your eyes,
nenda lumumba kachukue mshiko nakujua ww ni mpiga debe wa siku zote hapa jukwaani
hahaha nikipiga ru mstari naona beyond the eyes kuna ubongo wa nyuma kwa hiyo jamaa amefikiria kwa ubongo wa mbele juu ya macho.
 
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.

Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.

Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.

Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?

Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.

Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.

Acha ushabiki, badala ya kumtaka mleta uzi alete taarifa zaidi ili watu wajue ukubwa wa tatizo unakimbilia majibu rahisi kuwa ni chadema, ccm wankupa nn ww, kiasi umeacha hata kufikiri unajibu hoja kwa propaganda?
 
Taarifa yako haijakamilika,usilete taarifa nusunusu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom