Vifo JKT vyaongezeka

Vifo JKT vyaongezeka

Hawa jamaa sijui wanalipwa sh ngapi kwa huu ushu.zi wanaopost post humu
Ni watu fulani wanaonufaika na mfumo uliopo. Walishalewa kodi zetu, ila siku zinahesabika kwani 2015 nitaiweka pembeni PhD yangu na kujitoa mhanga. Haiwezekani nchi ina kila sababu ya kuwasaidia wananchi wake wakaishi vizuri lakini kutokana na mfumo mbovu.
 
Wamekufa wangapi?mbona mnataka kupinga kila kitu?mnataka vijana wetu wasiwe na uzalendo?kufa jeshini ni kitu cha kawaida kwani jeshi si lelemama.
 
Mkuu naona kama habari hii imeletwa hapa kuwatisha vijana au siyo? Usije na wewe ukawa ni mmoja wapo wa vijana wanao ogopa kwenda JKT ukaishia kutuletea stori ya kutunga!!!!
 
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.

Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.

Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.

Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?

Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.

Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.

Kaka unapiga siasa huku wengine huko wanalia kwa kupoteza watoto wao waliowasomesha kwa taabu! Kuwa na moyo na akili inayofanya kazi na sio kufikiria tumbo lako! Mbele za Allah hakuna CCM wala CDM! Uraiani unakosema wewe ni wapi? Umekaa Lmumba unasema uraiani hakuna vilio!
 
@zemarcopolo ukilala unawaza CDM, ukiamkia unaiwaza, maana comments zako wewe lazima uitaje CDM. pole sana, sasa kwa hili CDM imekataa vipi watu kujiunga na jkt? sema tu unapoamua kuingia jeshi unakabidhi na roho yako.

nyamaza tu cz leo hii anazikwa classmate wangu amefia huko. Hapa ishu c chadema but kukurupuka kutagharim maisha ya wengi. R.I.P bro!

ikumbukwe pia kuwa hawa wadogo zetu wakati wanaaenda walkwenda na simu ingawa hawazitumii mara kwa mara na huwana piga pale wanapopata chance, walio na ndg waliokwenda huko watakubaliana na huu mjadala
lkn huyu anayebisha hana ndgu alienda huko JKT,
kuna thread humu jamaa alisema watoto 6 wamefariki Kambi ya Tanga! Na wangine wanatoroka lkn watu walicomment ujinga ujinga hivyo
hivyo!!
lkn anyway mimi sishangai
Tunaweza kusema mengi lakini swali kubwa ni hili; Kila wakati huwa unawaza nini na kutafakari nini?
Je! unafahamu ya kuwa matendo yako na maneno yako , ni matokeo ya mawazo uliyonayo? Mtu husema anachokitafakari au kukiwaza, na pia hutenda anachokitafakari au kukiwaza moyoni mwake.
Ukitaka kumfahamu mtu alivyo rohoni mwake, sikiliza maneno anayosema na angalia matendo anayoyatenda.
 
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.

ingependeza zaidi kama ungeweka source
 
- Idadi ya vifo imefikia kiasi gani???
- Wanapewa mazoezi makali kupitiliza au???
- Taarifa za wakuu wa kambi zinasemaje???
- au ndo hivyo ajari kazini.

Wanaanzisha kambi za jkt kisiasa siasa tu bila kuzingatia masuala na msingi. Cjui kama kuna mitaala iliyojaribiwa ya jkt na ikaonekana iko feasible ama ni suala la jenerari kazi ngumu kutaka kujilinganisha yeye alivyosota na watoto wanaoenda kule kwa mujibu wa sheria.

Serikali ya sasa haina muda wa kujali vifo wala nini. Wako busy kuua CHADEMA TU. Hawa watoto wwatajiju na wazazi wao.

Ni huzuni kwa kweli.
 
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.

Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.

Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.

Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?

Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.

Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.

ukilala chadema, ukiamka chadema, ukiwa na njaa chadema, ukishiba chadema, ukilewa chadema, ukidundwa na mkeo chadema!
 
Kaka unapiga siasa huku wengine huko wanalia kwa kupoteza watoto wao waliowasomesha kwa taabu! Kuwa na moyo na akili inayofanya kazi na sio kufikiria tumbo lako! Mbele za Allah hakuna CCM wala CDM! Uraiani unakosema wewe ni wapi? Umekaa Lmumba unasema uraiani hakuna vilio!

Huyu jamaaa Marcopolo si wa kawaida.

Kwa ufupi ni hana watoto, hajazaa na kama anao wanaoitwa kwa jina , ni kwa vile wanakaa kwake.

Na ndiyo maana hawezi kufikiria uchungu wa kupotelewa na mtoto.

Vinginevyo ana akili mbofu mbofu kama wlaivyo ccm wasiojali misiba wala mateso ya watz. Ndio wanaoshikriki kuteka, kutesa, kuua watu na kusingizia watu wengine kwa kuwa utu ulishakufa siku nyingi sana kwao.

USIMSHANGAE ANAPOSEMA PUMBA HIZO.
 
Hizi ni proopaganda za chadema za kufanya watu wasipende JKT.

Chadema kila jambo zuri linaloanzishwa lazima walifanyie fitina ili lisifanikiwe.

Msikubali kulaghaiwa na hawa walafi wenye uroho wa madaraka. Wako radhi kuiharibu nchi ili wapate madaraka tu.

Kabla hamjalaghaika jiulizeni, hao watu wanaokufa na kuagwa miili yao inaenda mwezini? kwanini hakuna ndugu aliyefiwa huku uraiani?

Ninamshauri Maj. Gen. Muhuga akae chini viongozi wa chadema kiutu uzima awaambie kuwa huu upuuzi wa kutunga propaganda za kijinga juu ya kozi za JKT haufai.

Iwapo hawatasikia basi nashauri jeshi lifanye "jambo linalostahili" kwa maslahi ya wengi.

Hili jamaa ni likereketwa la kijinga...nenda zako mramba mavi ya wakubwa ili upate hela ya kuwalisha wanao..chadema chadema..kukicha unaiotamanina wew
 
Mkuu naona kama habari hii imeletwa hapa kuwatisha vijana au siyo? Usije na wewe ukawa ni mmoja wapo wa vijana wanao ogopa kwenda JKT ukaishia kutuletea stori ya kutunga!!!!

Acha unafiki..peleka mwanao akifa ndo uje utuambie umeamni kuwa wamekufa...mwezi uloisha ss tumezika mtoto wa binamu
 
Editing ya post zinazotumwa itapoteza sana muda,, lakini naamini itasaidia kuliweka hili jukwaa kuwa ni jukwaa la GREAT THINKERS.
 
Acha unafiki..peleka mwanao akifa ndo uje utuambie umeamni kuwa wamekufa...mwezi uloisha ss tumezika mtoto wa binamu

Unafiki hupi? mimi niliwahi kupitia huko, wewe je? We kwa mawazo yako unafikili kule kuna watu wakatikili ambao wanawaua vijana kwa makusudi - yaani hakuna waganga wa kuwapima/kutibu wenye matatizo, msiwe mnakurupuka kuandika mambo ya uzushi.

Ungejua JKT ina umuhimu gani katika ustawi/ulizi/umoja wa Kitaifa wala usingeleta mambo ya ajabu kama haya. Kama kuna jamaa yako amefariki kutokana na natural causes sema hivyo, lakini sio kuleta mambo ya kuongeza chumvi, nilisha kusoma kisaikolojia wala sishangai majibu yako!! We unasema vijana wengi wanakufa karibu kambi zote za JKT, ulipo banwa zaidi ukasema hapana jana ndio umezika mtoto wa binamu wako (R.I.P) sasa tukuelewe VIPI?
 
Hawa jamaa sijui wanalipwa sh ngapi kwa huu ushu.zi wanaopost post humu

kama unaona kilichopostiwa hapa ni ushuzi, basi tumia vifungu vya Jf kuwa hatutakiw kuweka ushizi !!
Sasa kama unaona huu ushuzi try to convice mods wautoe hapa
kama unahisi kauli ya ushuzi inamashiko!!
 
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.

Huu sio utani, waeleze watanzania kama kweli wajue fate ya watoto wao. Siyo jambo la utani.
 
Wamekufa wangapi?mbona mnataka kupinga kila kitu?mnataka vijana wetu wasiwe na uzalendo?kufa jeshini ni kitu cha kawaida kwani jeshi si lelemama.

Kungelikuwapo na mtoto wako, baba , mama, ndugu usingelisema hivyo! Mkuki kwa nguruwe,...........
 
Mkuu naona kama habari hii imeletwa hapa kuwatisha vijana au siyo? Usije na wewe ukawa ni mmoja wapo wa vijana wanao ogopa kwenda JKT ukaishia kutuletea stori ya kutunga!!!!

Wewe Bukyanagandi, mbona unashabikia vitu vya hatari! Kungelikuwa na mtot wako habari kama hii ungeliiweka maanani na kuichunguza! "Embwa ekalya akomuzana, bati gileke mube nimubika kulungi. Keyalile akamukama wayo ati kitwale mukihanike!!!!!!!
 
Watoto wanaokufa JKT serikali inalijua hilo? Nenda kashuhudie makambi ya Tabora,Tanga nk.Hivi watoto hao walipotoka Form six walipimwa afya kwanza kabla ya kwenda JKT? Sasa haya ona sasa wanakufa.[/QUO
Wacha porojo mbona sisi hatukufa tena tumetumikia mwaka mzima,siyo nia ya JKT kuua watu kwanza si wameenda kwa hiari yao!au walifikiri jeshi ni kwenda kucheza bongo fleva?matatizo ya kizazi hiki cha DOT.COM cha kula chips na mayai ukiwapa ugali tena dona na maharage wanadai wanaharisha sasa wale nini jeshini na mlo huko ndiyo huo,hawajawahi kushika jembe hata mche wa harage au mahindi hawajawahi kuuona toka kuzaliwa,jeshini unakutana na mashamba yanayohitaji palizi yanaitwa Embakasi,serengeti kulingana na ukubwa wake na palizi ni mkono sasa kama hauna ukakamavu umelelewa legelege afya lazima ilete mgogoro tu
 
Back
Top Bottom