Wapendwa,
Naomba mnisaidie kwa anayejua jinsi ya kuweza kuwapata vifaranga vya layers - either kutoka interchick au mkuza chick .
Ninahitaji layers vifaranga 500, nipo mkoani njombe.
Ntanguliza shukrani kwa ushauri wenu na muongozo mtakaonipatia.
Utanisaidia sana nikipata no zao, huku kulikuwa na mawakala wawili lakini wametapeli watu hela zao na sasa wamefunga ofisi na hawajulikani walipo. Wamekimbia mji.Uko ulipo hakuna mawakala wa interchick Kama hakuna upewe namba uwongee nao wa uku dar watakupa utalatibu
Utanisaidia sana nikipata no zao, huku kulikuwa na mawakala wawili lakini wametapeli watu hela zao na sasa wamefunga ofisi na hawajulikani walipo. Wamekimbia mji.
Pm nakutumiaUtanisaidia sana nikipata no zao, huku kulikuwa na mawakala wawili lakini wametapeli watu hela zao na sasa wamefunga ofisi na hawajulikani walipo. Wamekimbia mji.
Ok poaPm nakutumia
Wapendwa,
Naomba mnisaidie kwa anayejua jinsi ya kuweza kuwapata vifaranga vya layers - either kutoka interchick au mkuza chick .
Ninahitaji layers vifaranga 500, nipo mkoani njombe.
Ntanguliza shukrani kwa ushauri wenu na muongozo mtakaonipatia.
😂 😂 😂 😂 😂Utanisaidia sana nikipata no zao, huku kulikuwa na mawakala wawili lakini wametapeli watu hela zao na sasa wamefunga ofisi na hawajulikani walipo. Wamekimbia mji.