jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Ni maelekezo sahihi, skonko huko sio mahali pake.viatu vya kimichezo kwa ajili ya kutoka nduki ama? sijaelewa kamanda..
Ni maelekezo sahihi, skonko huko sio mahali pake.viatu vya kimichezo kwa ajili ya kutoka nduki ama? sijaelewa kamanda..
Upupu hauzimwi kwa maji,wachuuze tu wenzakokwa kuwa polisi wameazimia kuleta Fuji.
hakikisha unabeba jani la mzeituni ukikosa chukua jani lolote kusshiria amani
maji Lita mbili kwa ajili ya kuosha USO
maski za vumbi na gesi
bendera ya taifa
bendera nyeupe kwa kiongozi
vaa viatu vya kimichezo
Kamanda Mbowe atakuwa anaongoza maandamano Moshi mkoani Kilimanjaro, tunaanzia Majengo ofisi za chama manispaa kuulekea uwanja wa mashujaa.Kamanda Mbowe atakuwa mstari wa mbele karibu sana mkuu.
Body armour? Haisaidii kwenye heavy calliber rounds, kevlar pia inakua pierced easly if its point blank. Nendenj kwa Mwigulu mchemba mkamwombe,au nendeni rwanda kwaMWAMI kagame akawaombee .Wasisahau na...
![]()
Ndio kamanda, nunua viatu kama vya Usain Boltviatu vya kimichezo kwa ajili ya kutoka nduki ama? sijaelewa kamanda..
wataandamana Moshi,karibu sana Kamanda na wewe uje na mke na watoto wako mkuu.Ahsante sana mkuu. Nitajumuika na mke wake na watoto wake hapa Dar. Wasipotoka siku hiyo na mimi siandamani.
Wenye akili na wanaojitambua watafanya hivyo, wale wasiojitambua subiri matusi yao, uwe na uvumilivu kuyavumiliakabla ya kujiandaa jiulize na orodhesha sababu za kuandamana, fanya tathimini kama zinakusaidia ktk maisha kukuza uchumi wako.tathmini ucje ukawa unatumiwa.
mkuu mimi siku hiyo sitaandamana kama nitamshuhudia JPM akiongoza kikosi cha kuzuia maandamano na sio kuwaachia ndugu zetu polis huku yeye akila bata magogoni....Acheni Maandamano narudia tena acheni kuandamana siku hiyo vijana wakajitafutie maisha Angalieni hasara za kuandamana kwa kitu ambacho hukijui , Narudia tena acheni wala msijaribu
watu waoga utawajua tuMsisahau kuandika na USIA mapema.NOTE;sitachangia hata cent kama rambirambi kwakiumbe chochote kutokana natukio ilo.
Sio muoga Bali sioni mantiki yamimi kwenda kuandamana kwaajili ya mbowe na lowasawatu waoga utawajua tu
mkiamua mnaweza
Hapa Dar maandamano yataanzia wapi makamanda?