Vifaa vya kubeba tarehe moja kama ni mshiriki operation UKUTA

Vifaa vya kubeba tarehe moja kama ni mshiriki operation UKUTA

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Kwa kuwa polisi wameazimia kuleta Fuji.

Hakikisha unabeba jani la mzeituni ukikosa chukua jani lolote kushiria amani

Maji Lita mbili kwa ajili ya kuosha USO

Maski za vumbi na gesi

Bendera ya taifa

Bendera nyeupe kwa kiongozi

Vaa viatu vya kimichezo
 
kwa kuwa polisi wameazimia kuleta Fuji.

hakikisha unabeba jani la mzeituni ukikosa chukua jani lolote kusshiria amani

maji Lita mbili kwa ajili ya kuosha USO

maski za vumbi na gesi

bendera ya taifa

bendera nyeupe kwa kiongozi

vaa viatu vya kimichezo
mkiamua mnaweza
 
Wasisahau na...

IW-BPV-MOLLE-25x30_Black_1.jpg
 
Nitaenda mtaani kwa Mbowe tujipange na familia yake tuingie barabarani.
Kamanda Mbowe atakuwa anaongoza maandamano Moshi mkoani Kilimanjaro, tunaanzia Majengo ofisi za chama manispaa kuulekea uwanja wa mashujaa.Kamanda Mbowe atakuwa mstari wa mbele karibu sana mkuu.
 
Sasa hiyo si mzingo? We nenda na bukta tu ili uwe mwepesi wa kukimbia.

kwa kuwa polisi wameazimia kuleta Fuji.

hakikisha unabeba jani la mzeituni ukikosa chukua jani lolote kusshiria amani

maji Lita mbili kwa ajili ya kuosha USO

maski za vumbi na gesi

bendera ya taifa

bendera nyeupe kwa kiongozi

vaa viatu vya kimichezo
 
Back
Top Bottom