Vifaa vya bucha (butchery) vinauzwa

Vifaa vya bucha (butchery) vinauzwa

hewizet

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
2,494
Reaction score
1,632
1. Msumeno wa kukatia nyama wa umeme brand ya capital 800w (maelezo zaidi kwenye picha) uko na extra blade - 1.5m
2. Chest Freezer kubwa aina ya Snowsea ina glass za kusukuma kwa ndani na ina milango miwili- 950k
3. Chest freezer ndogo aina ya Snowsea 350k
4. Ac ya hisense 9000btu complete 500k
5. Meza (Stainless steel) 150k
6. Mashine ya kusagia nyama 100k
Pia kuna mlango wa aluminium mkubwa, bomba stainless steel ya kutundikia nyama pamoja na hooks zake
Mawasiliano ni 0757558111, Mazungumzo yatakuwepo Butcha lipo Maeneo ya Kawe, Lugalo Ukitaka butcha zima na frame pia tunakuuzia.

IMG-20260213-WA0005.jpg
IMG-20260213-WA0004.jpg
IMG-20260212-WA0011.jpg
IMG-20260213-WA0000.jpg
IMG-20260212-WA0013.jpg
IMG-20260212-WA0014.jpg
IMG-20260212-WA0012.jpg
IMG-20260213-WA0001.jpg
 
1. Msumeno wa kukatia nyama wa umeme brand ya capital 800w (maelezo zaidi kwenye picha) uko na extra blade - 1.5m
2. Chest Freezer kubwa aina ya Snowsea ina glass za kusukuma kwa ndani na ina milango miwili- 950k
3. Chest freezer ndogo aina ya Snowsea 350k
4. Ac ya hisense 9000btu complete 500k
5. Meza (Stainless steel) 150k
6. Mashine ya kusagia nyama 100k
Pia kuna mlango wa aluminium mkubwa, bomba stainless steel ya kutundikia nyama pamoja na hooks zake
Mawasiliano ni 0757558111, Mazungumzo yatakuwepo Butcha lipo Maeneo ya Kawe, Lugalo Ukitaka butcha zima na frame pia tunakuuzia.
Hii ofisi ilikuwa imekaa kibabe sana
 
Kaza biashara yaitaji uvumilivu , jipange, badili location, usiruhusu akili yako I give up, then mambo yatakaa sawa
 
1. Msumeno wa kukatia nyama wa umeme brand ya capital 800w (maelezo zaidi kwenye picha) uko na extra blade - 1.5m
2. Chest Freezer kubwa aina ya Snowsea ina glass za kusukuma kwa ndani na ina milango miwili- 950k
3. Chest freezer ndogo aina ya Snowsea 350k
4. Ac ya hisense 9000btu complete 500k
5. Meza (Stainless steel) 150k
6. Mashine ya kusagia nyama 100k
Pia kuna mlango wa aluminium mkubwa, bomba stainless steel ya kutundikia nyama pamoja na hooks zake
Mawasiliano ni 0757558111, Mazungumzo yatakuwepo Butcha lipo Maeneo ya Kawe, Lugalo Ukitaka butcha zima na frame pia tunakuuzia.
Dah office kali Sana,, Kuna nini mkuu au biashara ngumu,, mbona ilikuwa kali Sana.
 
Duh 🤔 😭
usilie Luna ndugu yangu mmoja alibambikiwa ofisi maeneo hayo huyo alomuuzia alimpanga kwamba amehamishwa kikazi so ofisi inabaki bila usimamizi ndo maana anauza, si akajaa kwenye system kumbe shida ni hamna wateja,, kodi 500k per month bado hizo bill za umeme alfu mauzo 20k per day na bado anatakiwa amlipe mfanyakazi
 
Alooo huyo aliyavagaa Sana , na utasikia kauli za "nimehamishwa kikazi" ili ujichanganye ujae kwenye mfumo looh!!
 
usilie Luna ndugu yangu mmoja alibambikiwa ofisi maeneo hayo huyo alomuuzia alimpanga kwamba amehamishwa kikazi so ofisi inabaki bila usimamizi ndo maana anauza, si akajaa kwenye system kumbe shida ni hamna wateja,, kodi 500k per month bado hizo bill za umeme alfu mauzo 20k per day na bado anatakiwa amlipe mfanyakazi
Nlishawahi ingia kwenye mfumo hvo hvo kinondoni ila ni nyumba za kupanga, Pale changamoto ilikua maji hayatoki + vibaka wale wa madirishani, nlikula hasara bahati nzuri nkatafuta mtu na mimi nkamuachia msala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom