Jiranibora tu aifunge maana location iliyopo hakuna mzunguko wa biashara kabisa,, alf anaingia gharama kubwa kulipia kodi plus umeme,,, ofisi naifaham ni miongoni mwa zile frame za Lugalo
Vijana hawakuiba apo kunataka online business sana kama mdau mmoja alivyosemaShida nini? Location au vijana wanakuibia? Sema biashara zinataka uvumilivu sana
Hapo tatizo ni locationOfisi nzuri,mali nzuri kwanini unauza mkuu ungeacha vijana waendelee kupata ridhiki