Viatell ni mtandao mpya wa Simu Kitoka Vietnam ambao unatalajia kuzindua Huduma zake septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.
Viatell ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.
Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.
Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.
Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.
Kwaheli Vodacom,tigo na airtel.
Hapo kwenye red, Yaani unatuongopea mchana kweupeeeeee.Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatalajia kuzindua Huduma zake septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.
Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.
Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.
Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.
Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.
Kwaheri Vodacom, Tigo na airtel
Hahahaha mkuu umeuwa. ...ok acha ije tu ila wasije na moto wa makaratasi waje na moto wa gesi.Sisi watanzania sijui tumelogwa na kitu gani,huo mtandao ni mpya but mtu anamwaga tu misifa kibao as if anajua kila kitu, tuache propaganda za kijinga ndo zinazotuponza hata kwenye chaguzi zetu na michezo pia propaganda. sasa mnataka kuleta kwenye mitandao ya simu,hebu tuache ujinga huo watanzania tubadilike.
Viatell wako zambia,uliza mitandao mingine ya kule ina hali gani,peleleza kwanini Rostam Aziz kauza hisa zake za vodacom ,aina ya biashara ni ushindani ili mradi Wewe mwenye kutoa upate faida,wachina mbona hawashitakiwi kwa kuuza bidhaa bei nafuu,nakuhakikishia kama mitandao mingine haitakubali kuacha unyonyaji iliyozoea hakika watafunga virago.

Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatarajia kuzindua Huduma zake Septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.
Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.
Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.
Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.
Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.
Kwaheri Vodacom, Tigo na airtel
Kuwekeza kwenye kampuni ya Simu kwa sasa hapa Tanzania ni kutafuta Presha tu
ZANTEL WAMESHINDWA KUTEKA SOKO
SASATEL NA WAO WAMEAMUA KUSANDA
SIJUI SMART TALK HATA HAIJULIKANI NI NINI
WATANZANIA BADO SANA KUHAHAMA MITANDAO WALIYOIZOEA
Siyo mradi wa vigogo wetu kweli huu?