Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,492
- 12,101
Inauma sana mzazi unajitoa kwa hali na mali kumlea mtoto katika njia sahihi, mwisho wa siku anatumbukia kwenye ulevi wa madawa na pombeHakika
Inauma sana mzazi unajitoa kwa hali na mali kumlea mtoto katika njia sahihi, mwisho wa siku anatumbukia kwenye ulevi wa madawa na pombeHakika
Zinatobu Nini au zina inshu gani mwilini je wao huongeza na vitu vingine au inapigwa yenyewe kama yenyewehizo ni valium Mkuu
😣 PainfulInauma sana mzazi unajitoa kwa halo na mali kumlea mtoto katika njia sahihi, mwisho wa siku anatumbukia kwenye ulevi wa madawa na pombe
Zinatumika kwenye matibabu ila zikitumiwa hovyo ndo huleta uraibu.Zinatobu Nini au zina inshu gani mwilini je wao huongeza na vitu vingine au inapigwa yenyewe kama yenyewe
Kimsingi Dawa nyingi za pharmacy zikitumika ndivyo sivyo matokeo yake ni yale yaleeee,,,,,,,ni vileee.....kwa mfano Valium ukiisaga ukachanganya kwenye fegi ,,,,,,,,,, ila ....usijaribu yakheee.,,,Halafu kuna dawa inaitwa Trazodone........utajua mwenyewe................Mi nilidhani ANAUMWA lakini maswali nilio jiuliza, mbona vinafichwa? Kwanini huyo jamaa anawauzia mateja, hawapajui pharmacy? Na je pharmacy wanafahamu hivo vidonge vinatumiwa na mateja kama kichangamshi?
unaeza ku google au kuongea na chatgpt kuhusu valium, kikubwa anapata anachokitaka ,stimuZinatobu Nini au zina inshu gani mwilini je wao huongeza na vitu vingine au inapigwa yenyewe kama yenyewe
Curious mkuu. Kuna wengine ndio wanaishia hapo hapo wengine wananasa moja kwa moja. Starehe zetu zinatofautiana. Wengine starehe yetu ni soka, wengine ndio hao starehe yao drugsNajua.
Nachozungumzia ni kitendo cha mtu kuanza kuonja/kutumia.
hapo ni full stimuKimsingi Dawa nyingi za pharmacy zikitumika ndivyo sivyo matokeo yake ni yale yaleeee,,,,,,,ni vileee.....kwa mfano Valium ukiisaga ukachanganya kwenye fegi ,,,,,,,,,, ila ....usijaribu yakheee.,,,Halafu kuna dawa inaitwa Trazodone........utajua mwenyewe................
Inasikitisha sanaJamaa wanabuni mbinu mpya kila siku, ila hivo vidonge vimetika pharmacy na uhakika Kwa muonekano nilio uona, swali sasa ni vidonge gani? Na kazi yake Nini Kwa mateja?
Dah noma sanaKimsingi Dawa nyingi za pharmacy zikitumika ndivyo sivyo matokeo yake ni yale yaleeee,,,,,,,ni vileee.....kwa mfano Valium ukiisaga ukachanganya kwenye fegi ,,,,,,,,,, ila ....usijaribu yakheee.,,,Halafu kuna dawa inaitwa Trazodone........utajua mwenyewe................
Kuna dawa ya maumivu jamii ya opioid inaitwa tramadol inatumika vibaya kama dawa za kulevya.Nilikua mishemishe kukusanya oda za detergents huku na kule, ni kawaida kula chochote msako bako Kwa bako, nimeingia hapa mara nika wakuta mateja wamejaa, ni njiani tu hawana shida hao, sasa kilicho nifikirisha Teja Mmoja akatoka vidonge rangi ni kama kijani sijui rangi gani ile, lakini kavitoa Kwa Siri huku anaficha nikajiuliza kama ni vidonge vya kutibu Kwa Nini Teja avifiche? Na sizani kama ni cocaine ile no ni vidonge ila nadhani wanapata stimu, hofu kama ni vidonge kawaida Kwa nini aangalie huku na huku na kama ni drug je vinauzwa pharmacy? Na je pharmacy wanatambua Hilo? Mana Kuna mtu Alisha nambia wahuni huvuta Hadi petrol, nilishangaa sana, hivo muonekano ni vidonge kama vidonge na vina rangi na vimo kwenye kipacckage yake kama paracetamol ilivo wekwa ila vyenyewe ni vina rangi Fulani hivi, dah
Dah hatari sana hiiKuna dawa ya maumivu jamii ya opioid inaitwa tramadol inatumika vibaya kama dawa za kulevya.
Itakua mandrax au dawa tiba nyingine ambazo zinalevya na hutumiwa mahospital haswa kwa wagonjwa wenye shida ya afya ya akiliNilikua mishemishe kukusanya oda za detergents huku na kule, ni kawaida kula chocho zote msako bako Kwa bako, nimeingia hapa mara nika wakuta mateja wamejaa, ni njiani tu hawana shida hao, sasa kilicho nifikirisha Teja Mmoja akatoka vidonge rangi ni kama kijani sijui rangi gani ile, lakini kavitoa Kwa Siri huku anaficha nikajiuliza kama ni vidonge vya kutibu Kwa Nini Teja avifiche? Na sizani kama ni cocaine ile no ni vidonge ila nadhani wanapata stimu, hofu kama ni vidonge kawaida Kwa nini aangalie huku na huku na kama ni drug je vinauzwa pharmacy? Na je pharmacy wanatambua Hilo? Mana Kuna mtu Alisha nambia wahuni huvuta Hadi petrol, nilishangaa sana, hivo muonekano ni vidonge kama vidonge na vina rangi na vimo kwenye kipacckage yake kama paracetamol ilivo wekwa ila vyenyewe ni vina rangi Fulani hivi, dah
FactItakua mandrax au dawa tiba nyingene ambizo zinalevya na hutumiwa mahosputal haswa kwa wagonjwa wenye shida ya afya ya akili
Hakuna mtu anachagua kuingia kwenye uraibu rafiki yangu.Elimu kubwa inatolewa bado sielewi inakuaje mpaka mtu anatumia madawa.
Kabla ya cocaine na heroin kuingia rasmi nchini miaka ya 80,90,watu walikuwa wanaingiza sana hizo mandrax kutoka India zikapigwa marufukuItakua mandrax au dawa tiba nyingene ambizo zinalevya na hutumiwa mahosputal haswa kwa wagonjwa wenye shida ya afya ya akili
Dah hatari sanaKabla ya cocaine na heroin kuingia rasmi nchini miaka ya 80,90,watu walikuwa wanaingiza sana hizo mandrax kutoka India zikapigwa marufuku
Ova
Unajua nini kinawafanya wawe hivyo au unawaonea huruma tu?Mambo ya kuiga hayo
Wanateketea vijana
OkayUnajua nini kinawafanya wawe hivyo au unawaonea huruma tu?
Inabidi uwe na jicho la compassion uweze kuwaelewa hawa watu.