Vidonge vya mateja vimenifikirisha sana,

Vidonge vya mateja vimenifikirisha sana,

Nilikua mishemishe kukusanya oda za detergents huku na kule, ni kawaida kula chochote msako bako Kwa bako, nimeingia hapa mara nika wakuta mateja wamejaa, ni njiani tu hawana shida hao, sasa kilicho nifikirisha Teja Mmoja akatoka vidonge rangi ni kama kijani sijui rangi gani ile, lakini kavitoa Kwa Siri huku anaficha nikajiuliza kama ni vidonge vya kutibu Kwa Nini Teja avifiche? Na sizani kama ni cocaine ile no ni vidonge ila nadhani wanapata stimu, hofu kama ni vidonge kawaida Kwa nini aangalie huku na huku na kama ni drug je vinauzwa pharmacy? Na je pharmacy wanatambua Hilo? Mana Kuna mtu Alisha nambia wahuni huvuta Hadi petrol, nilishangaa sana, hivo muonekano ni vidonge kama vidonge na vina rangi na vimo kwenye kipacckage yake kama paracetamol ilivo wekwa ila vyenyewe ni vina rangi Fulani hivi, dah
sio valium hizo ? maana ndio mateja wanatumia sana
 
Zamani tutawatetea kwamba elimu kuhusu madawa haikua kubwa kama sasa hivi.

Sasa hivi elimu ipo hadi kwa kuona watu wanavyoathirika nashangaa kuona mtu anaenda kuvuta.
Hatari sana hayo madude, tena siku hizi eti Hadi videmu vina TUMIA, hao najua wanafundishwa na masela wao wanao walomba, Moja kati ya effect ya dawa niliyo wahi kuniumiza moyo, ni jambo la kaka na dada kulombana wote wakiwa bwax kisa dawa mpaka wakafumwa yani kupigana shine mtu na dada ake na ni watu wazima tu
 
Ni madawa hayo, isingekuwa madawa yasingefichwa. Halafu sisi huku kwetu usisahau tuko mbali na nchi zinazotengenezwa cocaine( Chile,Colombia ) na tuko jirani na nchi zinazotengenezwa heroine au bidhaa zinazofanania na heroine ambazo ziko Mashariki ya kati hapo. Kuna uwezekano hicho kidonge ni product inayofanania na heroine maana baadhi ya watumiaji wa heroine kabla ya kuanza kutumia unga,hupewa kwanza hivyo vidonge halafu wakiwa mateja sasa ndo wanapewa unga.
valium
 
Ndio sawa shida ni vidonge vya pharmacy nina uhakika sasa nahofia afya zetu
 
Back
Top Bottom