Inaonekana umewahi kufanya kazi za mikono zilizochangia kufubaisha alama za vidole, me binafsi nimekutana na tatizo kama hilo kwani baada ya usajili nilikuwa nafanya kazi za kupaka rangi na kupinga plasta, so juzi kati nasajili vidole gumba vyote havisomi nikajaribu vidole vya kati bila mafanikio nikadraw conclusion kuwa nida hawajielewi ila baada ya kuskuti kinomanoma nikaja na wazo LA kujaribu kidole kidogo cha mwisho ahahhaahaha ngoma faster ikaitikia, since then laini zote nimezisajili kwa style hiyo pekee, so na wewe jaribu kidole kimojakimoja hadi utakapokipata kitakachosoma