Vidole vyangu havisomeki kwenye machine za biometric

Nakumbuka NIDA wakati usajili Kuna dada vilikataa kusoma kabisa. Ikabidi aondoke arudi tena. Dada mwenyewe inaonekana hafanyi kazi ngumu za kuharibu vidole. Inatokea. Fuata ushauri WA kusafisha kama wadau walivyoeleza Hapo juu .
 
Kuna kitu unashika/unagusa sana na mikono kiasi sehemu za vidole vyako pengine prints zimefutika au pengine mzunguko wa damu kwenye viganja,pia angalia na ushauri wa Mshana.
 
Ulikaa sana shamba nn
Au ulikuwa unapiga kzi ngumu mkono umekomaa

Ova
 
Inaonekana umewahi kufanya kazi za mikono zilizochangia kufubaisha alama za vidole, me binafsi nimekutana na tatizo kama hilo kwani baada ya usajili nilikuwa nafanya kazi za kupaka rangi na kupinga plasta, so juzi kati nasajili vidole gumba vyote havisomi nikajaribu vidole vya kati bila mafanikio nikadraw conclusion kuwa nida hawajielewi ila baada ya kuskuti kinomanoma nikaja na wazo LA kujaribu kidole kidogo cha mwisho ahahhaahaha ngoma faster ikaitikia, since then laini zote nimezisajili kwa style hiyo pekee, so na wewe jaribu kidole kimojakimoja hadi utakapokipata kitakachosoma
 
Image result for fingerprints not readable

karlaakins.com

Dryness or excess moisture (sweat) and heat are the biggest challenges to obtaining good fingerprints, so it is always recommended to come to your appointment with cool and dry, but hydrated hands. ... Do not wash your hands or use hand sanitizer immediately prior to your fingerprinting appointment.

More info :
With prolonged use, the finger-pad skin can become inflamed, swollen, and damaged to the point that ultimately ridge detail disappears. The medical term for this is Hand-Foot Syndrome. Those who suffer from a rare genetic disorder called adermatoglyphia are born without friction ridges and thus have no fingerprints.
 
Wanaovuta sigara, wakaacha iungue hadi kwenye filter au kile ki siponji na vitu vingine kama hivyo pia huweza kukumbwa tatizo kama hilo, je wewe ni mmoja wao?
 
Safari hii kama ndo hivyo tutatumia mpaka uume maana nao una mistari tofauti na mwingine kama vidole vinakataa vyote na lazima usajili kwa njia ya alama ya kidole utafanyaje sasa ukose mawasiliano ama?
 
Wanaovuta sigara, wakaacha iungue hadi kwenye filter au kile ki siponji na vitu vingine kama hivyo pia huweza kukumbwa tatizo kama hilo, je wewe ni mmoja wao?

Hapana sijawahi kuvuta sigara kabisa
 
Mhasibu na situmii vipondozi kabisa
Nenda wakuandikie taarifa kuwa huna vidole walau laini zako zisifungwe,hata kwenye BVR kuna watu walijaziwa taarifa za kutokua na vidole sababu ya mashine kushindwa kusoma alama za vidole vyao
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom