buswagg
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 418
- 726
Wakuu habari za wakati huu.
Kuna aunty angu amenishirikisha jambo nami nikaona niwashirikishe wana JF huenda tukapata suluhisho.
Anasema , ni muda kidogo tangu askie hiyo hali na alichukulia pia cas hana ugonjwa wowote wa ajabu. Kuna muda hua anaskia viganja vya mikono yake kuanza kuwasha ghafla, na mwili huanza kuwasha hata jwa saa nzima hata akiwa kazini (hua anatamani hata kuvua nguo akiwa mbele za watu, na baada ya muda anakua sawa.
Na hii hali hua inamtokea mala moja moja sana, anataka kujua shida ni nini manake haelewi, ili ajue jama ni allergy au vipi.
Msaada wenu tafadhali na ushauri wenu wakuu. Shukrani sana.