Msaada: Kichwa kuwasha na kuuma kwa ndani

joseky

Member
Jul 2, 2021
7
2
Habari zenu wana if najua mko poa mnaendelea na kazi zenu salama,

Jamani kama maada inavojieleza hapo juu mm naumwa kichwa kwa muda mrefu ila na vumilia tuu kinauma kwa kuwasha ndani afu kama kimebana kuanzia shingoni hadi ndani ya kichwa na mara nyingi nina mawazo ya hatia so nakuwa mtu wa wasiwasi halafu najihisi tofauti.

Najiona kwa ndani ya mawazo yangu kama nimebanana hivi naogopa sana kuwaza vitu nahisi kama vinanisikia kiukweli niajabu kidogo pia ni ngumu hali hii kuizoea.

Muda wote huzuni chanzo ilinitokea shuleni kipind nafany mitihani yangu ya advance baada ya halo nilishindwa hats kuendelea na masoma maana inatokea pia kama una soma au unaingiza kitu kipya kichwani kinauma zaidi afu kinakuwa kinabana unaona kama kinataka kupasuka au vipi.

Kiukweli sijui nitapona lini mpaka sasa na miaka 7 naombeni ushauri wenu nifanye nini au nitumie dawa zipi najua Nina neurotic disorder ila cjui napona VIP halii unajihisi kama mwili si I wako kama mpo wawili hivi so pain kwa kweli msaada kweni
 
Nenda spitali kafanye CT scan waangalie kama kuna abnomalities zozote kwenye kichwa.
 
Back
Top Bottom