Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,293
Aiseeeh....
Umuofia Kwenu wana JF,
Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.
View attachment 3344333
Nilishasanuka toka kitambo masterWewe ndio unasanuka now?
Zisharekodiwa dunia nzima
Bora Askofu Josephat Gwajima, Masudi Kipanya wamejitokeza kuzungumzia watu wasiojilikana katika utekaji nchini Tanzania.
Kwa siku kadhaa tumetegemea mbeleko za raia wapendwa ndugu zetu wa Kenya huku vyombo vyetu na mawaziri wa Tanzania wakiwa kimya kabisa. Ni aibu kubwa kwa vyombo na pia taifa letu la Tanzania
TOKA MAKTABA :
Boniface Mwangi akiongea na watu wasiojulikana waliokuwa wanagonga mlango wa chumba chake Hoteli ya Serena usiku wa manane jijini Dar es Salaam
View: https://m.youtube.com/watch?v=BGoZfL0eYl0
Katibu mkuu ni mtu aliye karibu sana na aliyekuwa afisa ubalozi ktk ubalozi wa Tanzania nchini Brazil ambaye sasa ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Suleiman Mombo.Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.
| .PICHA TOKA MAKTABA : |
|
| Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais |
Mbona zipoKama JF zipo basi ni kheri waziache maana muda huu calls zinatembea kwa ma-admini wa youtube wenye video wazifute.
Bado ipo youtube. Nimecheki dakika zote 45Nilidownload mapema nilijua tu upuuzi kama huu ungetokea kama ile interview ya Kikeke na Muliro .
Kwa zama hizi kitu kikishaenda hewani hata ukifuta unajisumbua.
Leo kaongea mambo mazito. Ni kana kwamba kuna watu wapo nyuma yake wamemwomba aongee kw niabaAskofu Gwajima kwanini wakuu wa usalama wa taifa TISS wamebalishwa wengi 2021 - 2025
DG TISS CP Diwani Athumani
View attachment 3344395
Director General PCCB (2018-19). Director TISS (2019-22). Permanent Secretary, State House (2023).
Profile :
President Samia sacks Diwani Athumani after two days', The Citizen, President Samia sacks Diwani Athumani after two days
Shinyanga Regional Police Commander (2010-13)- Deputy Director Criminal Investigations, Tanzania Police Force (2013-14)
- Acting Commissioner of the Criminal Intelligence Commission, Tanzania Police Force (2014-15)
- Director Criminal Investigations, Tanzania Police Force (2015-16)
- Regional Administrative Secretary, Kagera Region (2016-18)
- Director General PCCB (2018-19)
- Director TISS (2019-22)
- Permanent Secretary, State House (2023
'CP Diwani Athumani Msuya', PCCB, https://www.pccb.go.tz/index.php/2022/05/29/cp-diwani-athumani-msuya/
Hazijafutwa zipo mbonaNilidownload mapema nilijua tu upuuzi kama huu ungetokea kama ile interview ya Kikeke na Muliro .
Kwa zama hizi kitu kikishaenda hewani hata ukifuta unajisumbua.
Nilisave links kama tatu hivi then nije kuangalia nikifka sehemu yenye network nzuri ,sasa nimefika nimejaribu mbili zote video unavaible ,nikajaribu ya mwisho katikati nayo ikaleta video unavalailable...Kuna moja noona ipo nahisi bado hajapokea simu kutoka juu ili nayo ifutwe.
Leo kaongea mambo mazito. Ni kana kwamba kuna watu wapo nyuma yake wamemwomba aongee kw niaba
ZimerudiswaUmuofia Kwenu wana JF,
Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.
View attachment 3344333