PreGE2025 Video za Askofu Gwajima zafutwa Youtube

PreGE2025 Video za Askofu Gwajima zafutwa Youtube

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umuofia Kwenu wana JF,

Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.

View attachment 3344333
we muongo.
na hii haifunguki"

Rasmi! Askofu Gwajima ameliamsha "dude" kuhusu utekaji? Aibuka na orodha ya watu 83 Waliotekwa.​

na hii

Mwanzo-Mwisho Alichokisema Askofu Gwajima Kuhusu Utekaji Nchini | Aapa Kuongea Tena Akichokonolewa​

na hii

Askofu Gwajima Afunguka Mazito Sakata la Utekaji​

nk
 
Sawa mkuu ,kwani kuna mashindano boss? Haujaelewa nivyoandika? Wewe haujui kwamba habari za gwajima kuhusu utekaji zimekuwa banned kwenye vyombo vya habari? Hakuna media yoyote iliyoreport press yake na hakuna gazeti lolote lililoreport na kwenye youtube baadhi ma admini wamefuta ,zimebaki links chache tu ambazo huku nyuma nilishaeleza.
 
Nilisave links kama tatu hivi then nije kuangalia nikifka sehemu yenye network nzuri ,sasa nimefika nimejaribu mbili zote video unavaible ,nikajaribu ya mwisho katikati nayo ikaleta video unavalailable...Kuna moja noona ipo nahisi bado hajapokea simu kutoka juu ili nayo ifutwe.
mimi nilizi download
 
Back
Top Bottom