EEEEEeeenHEEEEeeee!JF zimejaa tele
Huko TCRA, kuna "Askari mashuhuri wa Samia", hawezi kuruhusu vitu kama hivyo viharibu mipango ya Samia kunyang'anya uRais kwa nguvu; hata kwa gharama ya damu ya waTanzania.
Mungu Aibariki JF.
EEEEEeeenHEEEEeeee!JF zimejaa tele
Bora Askofu Josephat Gwajima, Masudi Kipanya wamejitokeza kuzungumzia watu wasiojilikana katika utekaji nchini Tanzania.
Hiyo AMANI yenu waTanzania haiwasaidii kitu.kumeibuka wimbi la wanaharakati wanaochipua kama uyoga watanzania tuwe makini amani yetu isichezewe
Atakua Msigwa na kina BalileNani anayepiga simu hizo?
Msigwa anatakiwa afahamu kwamba Shetani hana RafikiAtakua Msigwa na kina Balile
Yah hata mimi nimeona hii mambo
Umuofia Kwenu wana JF,
Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.
View attachment 3344333
Mbona zipo
Hehehehe huwez ramba asal ukaja kugusa mzinga unakupa asali hehehUmuofia Kwenu wana JF,
Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.
View attachment 3344333
Mbona zipo mkuuUmuofia Kwenu wana JF,
Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.
View attachment 3344333
Yes ,kuna baadhi ambazo nilisave links zimefutwa.Mbona zipo mkuu
Ova