Video ya tik tok mtu anayevunjwa shingo je nikweli?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,928
Tik tok Kuna video imesambaa jamaa anamvunja mwenzake shingo ambae kalala anaonekana amekufa halafu baada ya kuivuta shingo anainyonga nyonga watu wengi wameitag na kuonyesha reaction zao sambamba na hiyo video.
 
Hao watu wa pembeni wamejirekodi wakionyesha reaction za hiyo video
 
Kuna moja nimeona status eti mtu ananyooshwa mguu uliovunjika kwa kutwangwa nyundo za ugoko.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…