Video ya King Kiba, Chekecha Cheketua ni habari ya mujini

Huu wimbo ni mzuri kwa kweli....ila video sijui! Kwani video nzuri ikoje?? Ni mpaka iwe na ma rolls royce, ferrari,yatch,majumba ya kifahari???!!! Maanake naona wabongo wengi video wanasifia nzuri ikiwa na majumba makubwa,magari ya kifahari na location expensive,ila ikiwa na mazingira ya kawaida inaonekana mbaya.

Swali kwa ali kiba au mameneja au washabiki wenye uelewa, kulikuwa na ulazima gani kwenda kufanya hio video sa[not sure]??? Hio location na vitu vilivyotumika havipatikani hapa?? Au walimfuata director fulani huko??

number one remix nyimbo iliyotingisha africa nzima.. video imefanywa studio tu.. hakuna gari wala nyumba iliyoonekana..

ni watu kuimba na kucheza tu kwa furaha..

video kama nzuri ni nzuri tu na kama mbaya ni mbaya tu hata ufanyie stoo tu
 
Hahahah weraaaaaa weraaaaaaaa!!
Ally Kiba bhana mi penda sana wewe miaka alfuuu.....kwa huo utundu wako!

Woooiiiiii kitu mwaaah mwaaaah kavideo kadhuuuuuriii!

hahahahahahahahha...kavideo kazurrrrrrrriii

kanatingisha Africa

bwahahahahabwahahahaha....wera weraaaaaa

Vote for MFALME Vote for K K K K For real

Vote for Davido

Tanzania Vote for Nigeria
 
Nataka kuipima kwa Viewers tu. Imewekwa leo Tareh 30June tuone in 12dayz itafika wapi. Numbers dont lie
 
Tunatakiwa tupende kazi nzuri za wasanii sio tupende majina ya wasanii ilo ni tatizo kwa washabiki wa muziki wa tanzania mnapenda majina sio kazi zao ali kiba sio mbunifu kwenye video zake nyimbo kama mwana ni nzuri lakini video yake amearibu kabisa amna video pale afuati mfano wa diamond ndio mana tunasema diamond juhudi yake ya mziki itamfikisha mbali ni mbunifu kiba bado sanaa ni msanii wa zamani lakini bado ajajifunza kitu chochote kile kwenye video za mziki wake
 
video ni nzuri, sasa wewe unayebishana na TRACE, wajua kuliko? ukiwa unabisha, eleza na shule gani ya theater arts umetoka. eleza facts na sio matters of pure opinions. By the way beauty is not universal.

:brushteeth::brushteeth: sugua meno kabla hujajibu hii kitu.
 
Nyie na video zenu za kukariri hivi hamuangaliagi video za mbele?? Jamaa kaamua kuwa controversial thats it, kazi kwako kuichambua
 
video ni nzuri, sasa wewe unayebishana na TRACE, wajua kuliko? ukiwa unabisha, eleza na shule gani ya theater arts umetoka. eleza facts na sio matters of pure opinions. By the way beauty is not universal.

:brushteeth::brushteeth: sugua meno kabla hujajibu hii kitu.

watasema katoa hela ili ichezwe trace
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom