Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,023
- 8,619
Jana Kng kiba alitanga kuachia Video ya Wimbo wake Jealous Leo hii,. Baada ya Masaa sita kupita Sadala nae Akatangaza kuachia Video ya Wimbo wake mbovu IYO
Masaa machache yaliyopita Alikiba amehairisha kuachia video hiyo kutokana na msiba wa kifo cha mtoto wa Masoud Kipanya, Malcom
Ni kwanini Wachafu wa roho wanapenda kutembelea upepo wa King, Harmonize na Sadala wamekua waviziaji wakubwa toka King anze kuachia ngoma zake Back to back
Usishangae jioni Konde nae akaachia video ya wimbo wake
Sadala kalambwa chenga kaangukia makalio