Video ya King Kiba, Chekecha Cheketua ni habari ya mujini

Kibaaaa kimbizaaaaaaaaa hahahaaaaa nimependa music styl ya kiba kinoumaa.
Chekecha yaan ndo kama vile nimeanza kuisikia leo yaan.
Heheheee habari ya celebrity forum ni chekecha tuu.
 
lazima uipende mkuu...utafanyaje sasa kama unashabikia mtu mwenyewe boga na siye mbunifu..hakuna jinsi nyingine inabidi tu kujifariji

hahaha....dunia ina maua ya rangi tofauti...sasa wewe unataka dunia yote maua yawe ya njano kwa kuwa unapenda njano...ulitaka ashuti uchi ndo ubunifu au....na kwa taharifa yako video haiongezi ubora wa wimbo ila inautangaza tuu....sasa mwenzio ndo anazidi kupaa...we utabaki hapohapo na majungu yako
 
hahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahha

If wishes were horses
 
Wimbo mzuri,alikiba anajua kuimba ila kuhusu video expect nothing from him.
Hovyo kabisa

natamani kujuwa hovyo katika lipi...au kwa kuwa ni kiba ndo yupo mle kwenye ile video...fafanua mkuu...ukiacha hewani tafsiri yake ni chuki
 
Hadi huruma mnavyomnanga mtoto wa mwanamke/mwanaume mwenzenu, kama angekuwa anajitambua kiba angetoaga audio tu akapotezea au video asishiriki kucheza, hajawahi kutoa video ikaendana na wimbo jmn... alitoa video ya mwana, ni bonge la video lkn sio ya kuendana na wimbo hata kidogo.. jamaa namkubali mno sauti lakini kwa video hata mimi nimekataa kuikubali.
 
Kibaaaa kimbizaaaaaaaaa hahahaaaaa nimependa music styl ya kiba kinoumaa.
Chekecha yaan ndo kama vile nimeanza kuisikia leo yaan.
Heheheee habari ya celebrity forum ni chekecha tuu.

hahahahahhahahahahahha....lazima kujifariji...kimoyomoyo unajua tu jamaa kachemuka aaaaaaaaile mbayaaaaaaaa

SEMA nyie die hard fans...so lazima m behave hivi

Sio kosa lenu...ni maumbile
 
Hadi huruma mnavyomnanga mtoto wa mwanamke/mwanaume mwenzenu, kama angekuwa anajitambua kiba angetoaga audio tu akapotezea au video asishiriki kucheza, hajawahi kutoa video ikaendana na wimbo jmn... alitoa video ya mwana, ni bonge la video lkn sio ya kuendana na wimbo hata kidogo.. jamaa namkubali mno sauti lakini kwa video hata mimi nimekataa kuikubali.

die hard fans wanaumia tu moyoni

hawawezi kusema...ivi chukua hii video linganisha na Nana...what can you say?
 
Kufananisha cheketua na nana walah ni kujitaftia ugonjwa wa moyo.. kamwe asilani haiwezi ikaribia nana... hata wewe moyo wako ulishakwambia hivyo

lakini bwana Shardcole ambaye ni kamanda mwenzangu atakwambia Nana hakuna kitu ila wao wanaendelea kuchekechuliwa tu....hahahahaha...ukiwa shabiki mandazi shida sana
 
Last edited by a moderator:
Tunatakiwa tupende kazi nzuri za wasanii sio tupende majina ya wasanii ilo ni tatizo kwa washabiki wa muziki wa tanzania mnapenda majina sio kazi zao ali kiba sio mbunifu kwenye video zake nyimbo kama mwana ni nzuri lakini video yake amearibu kabisa amna video pale afuati mfano wa diamond ndio mana tunasema diamond juhudi yake ya mziki itamfikisha mbali ni mbunifu kiba bado sanaa ni msanii wa zamani lakini bado ajajifunza kitu chochote kile kwenye video za mziki wake

ulitaka ubunifu upi....yan comment yako inaonesha umeongea kishabiki then haupo fair...hujakosoa kifundi ila kishabiki...najuwa umei download emu endelea kuitazama ipo siku utaielewa
 
Mashabiki ndio mnaomfanya Kiba abaki kuwa Msanii chipukizi ,badala ya kumwambia ukweli nyie mnamsifia tu hata alipochemka.

kuna mashabiki hawawezi kumchana

Jamaaa hapa kachemka

Kawaka ile mbaya

Wao ukiwaambia hivyo wanakimbilia kwenye tuzo za KTMA alizopata kwa kura za women Empowerment
 
lakini bwana Shardcole ambaye ni kamanda mwenzangu atakwambia Nana hakuna kitu ila wao wanaendelea kuchekechuliwa tu....hahahahaha...ukiwa shabiki mandazi shida sana

Ajipange upya.. aache kusikiliza wenye chuki binafsi juu ya maendeleo ya mond.. akubali kujifunza... na kama kipaji hakipo si aache tu.. heee ye naye hachoki kutamkwa midomoni mwa watu, mwe mwe..
 
Last edited by a moderator:
ulitaka ubunifu upi....yan comment yako inaonesha umeongea kishabiki then haupo fair...hujakosoa kifundi ila kishabiki...najuwa umei download emu endelea kuitazama ipo siku utaielewa

Nikwambie kitu...Mashabiki wote Wa Diamond wataiangalia kuona ni upuuzi gani huo ambao ninyi mashabiki wa MFALME asiye na nyumba ya kuishi mnaushangilia....

Mkuu...mpeni mtu wenu laivu...mwambieni anachemka

Kumfariji hakumsaidiii
 
Nataka kuipima kwa Viewers tu. Imewekwa leo Tareh 30June tuone in 12dayz itafika wapi. Numbers dont lie

Not all the tym. Kumbuka Kiba ameshinda tuzo za watu na kili kwa namba ambapo mwisho wa siku imeonekana ni w.empowerment. pnt is wale wanawake wanaweza kukaa chumbani na mashoga zao kuview mara nyingi kuupandisha huo wimbo. Ni bora ungesema airtym kwa stations za nje na nominations za nje.
 
Ajipange upya.. aache kusikiliza wenye chuki binafsi juu ya maendeleo ya mond.. akubali kujifunza... na kama kipaji hakipo si aache tu.. heee ye naye hachoki kutamkwa midomoni mwa watu, mwe mwe..

Jamaa alikuwa na opportunity akashindwa kuitumia kwa sababu ni mvivu

Ile opportunity ya Kuimba na R Kelly ingeenda kwa Diamond asingefanya makosa

sasa hebu ona mtu kila siku anakuwa kama msanii chipukizi

Tuzo alipata kwa sababu wanawake wa Diamond walikuwa bado na wivu wa kimapenzi na jamaa yao
 
Not all the tym. Kumbuka Kiba ameshinda tuzo za watu na kili kwa namba ambapo mwisho wa siku imeonekana ni w.empowerment. pnt is wale wanawake wanaweza kukaa chumbani na mashoga zao kuview mara nyingi kuupandisha huo wimbo. Ni bora ungesema airtym kwa stations za nje na nominations za nje.

Hahahhahahaha

Women empowerment...Inaoneikana Dimondo alikua anasimamia show sana yaaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom