Video ya King Kiba, Chekecha Cheketua ni habari ya mujini

Angalia video ya For you(mdogo mdogo) ya q chilla
Angalia my no one remix Diamond
Angalia Wanjera dimpoz
Angalia nana Diamond
Angalka Mwana king Kiba
Kuna kichupa cha mdee nk

Hakuna cha ferari wala nini mkuu

Narudia tena the video is good lakini sio kwa viwango tunavyotarajia kutoka kwa Kiba kutokana na ushindani ulivyo sasa

Kichupi hiki hiki kama kilivyo kingetoka na audio pamoja tusingeona kama video hii ni nzuri ya kawaida, tungeiona kali sana kutokana na ukali audio
Cheketua ni bonge moja la songi limekaa ku dance dance flani

Kinachoharibu video zikichelewa ni zile video unofficial zinazowekwa youtube
Nyingi ya video za cheketua unofficial jamaa wanacheza kweli kweli sababu wimbo unachezeka, watu wanaanza kutengeneza itakua hivi hivi watu wanacheza sana
Sasa ikija kutoka tofauti ndio tunayo yaona
Hwaangalii tena uzuri sababu tu hawajakuta waliyotarajia

Mi naona video ni nzuri ila imekosa kitu kinachoongeza excitement (Taharuki), yaani haitii mshawasha wa kuiangalia tena na tena. Sijui imepooza au tatizo ninini? Ieleweke tu kuwa mtu akirudia rudia kuangalia video hajaenda pale kushangaa ferari, lamborgine wala magorofa. Huwa kuna kitu cha tofauti kinachoshawishi kuendelea kuangalia video. Wachezaji pia wamepooza yaani tabu tu. Ila video SIO MBAYA hata kidogo.

Kingine wazungu wanasema AS YOU SOW, SO SHALL YOU REAP, (kama ni kweli mashabiki wa kiba ndo walokuwa wanamponda diamond, sishangai mashabiki wa diamond wakimponda Alikiba) Ikumbukwe kuwa mashabiki tunatofautiana uwezo wa kuelewa, kuna wale low mind, kwao ni kupondaaaa tuuuu ndo wanachokijua. Tuvumiliane tu Si mashabiki sie hahahaaaaa

As long as kuna mashabiki zake wameipenda basi sawa, hakuna tatizo kabisa teh teh.
 
Sijapata kuona livideo baya kama hili si bora haka kahela alikokasotea mwaka mzima anakuja kutuwekea mauza uza kama yale angevitumia hivo vihela vyake kwenda kupanga kuliko kwenda kulala kwa maza na kutuwekea maronyaronya kama yale
 
Ali Kiba anatoaga video kali tangia lini? Video zake ni za kumshindanisha na za Afande Sele tu, tumeshamzoea kwa kutoa nyimbo audio kaliii video masalo mara zote
 
Wale mnajjifanya professional zaidi kwa mambo video making mtoage na kasoro za hiyo video sio kuleta ushabiki maandazi coz kila kinachotengenezwa kwa mikono ya mwanadamu kina kasoro( isipokuwa MUNGU tu).

Dai mwenyewe kaikosoa video yake ya Nana kasema kuna scene haikupenda coz kuna watu walikua wanapitapita na kushangaa.

So na nyie mtoe kasoro sio kuleta mapenzi ya kifilipino hapa hahahahhhaha.
 
Tafuta wasaa. Uipitie video ya Mwana BongoFleva huyo Kiba 4real. Hakika anerejea vilivyo..

Chekecha cheketuaaaaa!


kwa mtazamo wangu.........
uku kwenye kutoa maon naona viewers wengi kuliko youtube alafu kama mnamkubali mwekeeni ata likes za kutosha coz dislikesss 👎👎👎zimekua nyingi
attachment_preview


ila mweusi joh namuona internationaleee ila ndo mana naikubali hiphip aina mbwembwe cjui...hajavaa vizuri...mara hajui kucheza....cjui location mbaya....so mbunifu thus y hiphop itabak kua mziki bora kwangu coz uwez kua msanii wa hiphop kama wewe sio creative joh..salute you kwa kutukimbizia mtv #1 nyc
i love hiphop RnB cjui ni nan
na keep up nakeep up.........
attachment_preview
 
Last edited by a moderator:
Mi nawaza kwa sauti kubwa sana ingekuaje sijui kama "diamond ndio angekua ametoa video mbovu kama ya chekecha" haki ya Mungu tungekimbia humu ndani aisee,kubalini tu bosi wenu bwana wanyama pori kachemka,

angalia watoto wadogo wanavyo toa vichupa safi

1.Mo music-nitazoea
2.Meda-kongoi
3.Nuhu mziwanda -bilima
4.Ruby-tembea na yule sijui nini nini huko
5.Msami-yalayala.

na wengine kibao....badilikia Kiba mwenzako mwana FA alishawahi kukiri hajawahi kutoa video bomba maishani mwake anadhani #kiboko yangu ndio video yake nzuri ya kwanza tangu aanze muziki.

#cheketua dance kama sugua gaga vile, sina ugomvi na mtu#

Hizi kweli chuki
Nimeenda kutazama izo video quality yake tu yakimagumashi

Chekecha ni video nzuri ,tuache ushabiki tulionao
 
Yani mambo yako yasikuhangaishe uhangaike na ya Kiba. Really utakua na ugonjwa wa kutokujiamini na kufatilia yasiyo kuhusu aisee hata kiswahili hujui vizuri kajifunze kuandika kwanza vizuri ndo ulete makanyagio yako hapa.
unaongelea Kiswahili kipi nisichokijua......onesha neno lisilo la Kiswahili hapo au liliokosewa.....nikudharirishe hadharani
 
Hawa mahacker sasa wamezidi, wame hack na akaunt ya mtvbaseafrica?.. teh teh teh
 

Attachments

  • 1435902208585.jpg
    1435902208585.jpg
    9.9 KB · Views: 159

Similar Discussions

Back
Top Bottom