Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
Inauma sana na kutia hasira kuona familia ina uhakika mpendwa wao kauwawa ila serikalii batili na dhalimu inaenda kutupa miili kama takataka na wanazika nguo. Ni Haki na Uwajibikaji! Bila haki hakuna amani! Huu si msemo ila ndo ukweli halisi wa maisha! Uhai wa binadamu hata moja ina thamani kubwa.