Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,667
Hivi uzio wenye waya wa umeme unazuia kweli vibaka?
Kwenye video hapo chin ya CCTV iliyowanasa vibaka wakivunja fensi ya umeme kwa miguu.
Yani dawa yao hawa kenge ni rottweilers, Pitbull na German shepherd.