Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 996
- 1,912
Fence inatumia umeme wa kawaida sana ndo maana ina mashine yake ambayo inapokea umeme wa kawaida kabisa kama TV na redio na kufua mpaka volt 7000 au zaidi.Wengi wanaweka halafu hawawashi kwa kuogopa itatumia umeme mwingi...