Video vibaka wakivunja fence ya umeme kwa miguu

Video vibaka wakivunja fence ya umeme kwa miguu

Pumba
Yani mkuu wee acha tu. Hapo Chini imam wetu kipenzi mkombozi wa waislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu.

Chini hapo akiwaaga vijana wake wapendwq Ali Al- Sajjad ibn Hussain na Ali Al-Akbar ibn Husssain kabla ya umauti Yani Simanzi.

View attachment 3408907View attachment 3408908View attachment 3408909View attachment 3408910

adriz Akhi Al-mukheef Lamborgini Makonde plateu Covax Dabil Wakilli Mufti kuku The Infinity
Vu sana 😂😂😂
 
NIMERUDIA TENA KUANGALIA HILI TUKIO NIKIWA KAMA MTAALAM WA MAMBO YA Cooperate Security KWA LEVEL YA CSMP na RSMP kwa maana ya CERTIFIED SECURITY MANAGER PROFESSIONAL na SECURITY and RISK MANAGEMENT PROFESSIONAL - C. Ni wazi kuwa Fence haikuwa na moto, kwa nini nasema hivo huyu mtu wa mwisho alishika kabisa naked waya, ile waya ya chini kabisa of which kama ingekuwa na moto lazima angepigwa short na angezimia. Au kama fence ilikuwa na moto basi Fundi alifanya kosa la kiufundi kuweka waya wa Earth au ground mwanzoni au waya namba moja. Huwa tunashauri fundi aanze na waya wa Live. Lakini zaidi sana Mimi kama mimi (PSP au Physical Security Protection) nshauri zaidi watu na mafundi umeme ambao mmeingia kwenye hii biashara ya kuwafungia watu fence ambayo tunaita , ALL LIVE WIRE ELECTRIC FENCE. Lakini pia tunapaswa kuhakikisha kuwa fence zetu zina siren za kutoa taarifa about any possible Intrusion, maanake nini Tengeneza fence ambayo baada ya tu ya kuwa Tampered ( waya kukatwa) upate taarifa. ASANTENI NIKO TAYARI KUTOA USHAURI BURE KUHUSIANA NA HAYA MAMBO.
Sawa mtaalamu
 
Zikoje hizi mzee

Nina main panel au controller (tazama picha ya kwanza chini) kwa ajili ya ku control sensors ambazo hizi nimezifunga nje, madirishani na milango ya nje, kuarm au disarm security system, na kufanya settings nyingine.

Main panel
20250717_211603.jpg


Main panel nyingine ni software/app ipo kwenye simu (picha nimeshea post ya juu)

Sensors zipo za aina mbili:
1. Infrared sensors kwa ajili ya kugundua mijongeo ya wezi hivyo hizi zimefungwa kwenye kila dirisha.

2. Magnetic sensors kwa ajili ya kung'amua movements za dirisha au mlango kwamba , hivi vitu vikifunguliwa tu napata alarm.

Sensors zipo nje siwezi piga picha, ila tazama hii picha ya mtandaoni

Screenshot_20250717_214120_Chrome.jpg


Pia kuna siren (king'ora) ambacho kipo cha ndani na cha nje. Unaweza ukakifanya kitoe mlio ili kuwatisha wezi au la hasha ukaamua tu system ikupe ujumbe wa SMS kimya kimya mwizi aingie kwenye 18.

Siren ipo nje sijaweza ipiga picha ila tazama picha ya kudownload

Hddcf59bdc3f04d0d86d8d3412872489aG.jpg


Pia kuna RFID hii ni kama remote tu incase upo mbali na panel au simu, mfano ulikuwa ume arm ssytem yako na umerudi home badala ya kudisarm kwenye panel, unatumia hiki kidude kuondoa ulinzi kwa wakati huo ili alarm isidhani kuna uvamizi.

RFID
20250717_211903.jpg


Mwisho wa siku mfumo mzima unakuwa umeungwa kama hivi, pasipo waya (wireless)

Namna mfumo ulivyo
H11f67a527eff4cb9aaa7a5cff3fbfedca.jpg
 
HIIYO FENCE BILA SHAKA HAIKUWA NA POWER, KAMA INGEKUWA NA POWER HUYO MTU WA MWISHO KWA JINSI ALIVOSHUKA ASINGEKUWA SALAMA HATA KIDOGO. LAKINI PIA TUMEONA AKIVUNJA TAYARI AKIWA NDANI ALIINGIAJE NDANI HAPO BADO HAKUNA MAJIBU, MAMBO YAFUATAYO YANAWEZA KUWA YAMECHANGIA:-

1. Udhaifu wa Kiufundi kwenye Fence ya Umeme​

# Inawezekana Voltage ya umeme ilikuwa ndogo na isiyotosha kuwazuia wavamizi.​

# System ya umeme inaweza kuwa imeharibika au imezimwa kwa muda fulani bila kufahamu.
# Ama Walioweza ku-bypass au ku-ground fence hiyo, wakapita bila kudhurika.
NGUZO ZILIZOSHIKA FEANCE ZINAONEKANA KUTOKUWA IMARA, FUNDI ALIYETANGENEZA FENCE HAKUWA AMEFANYA ASSESMENT YAKE KWA USAHIHI HUWEZI KUTENGENEZA FENCE NA UKAACHA NAFASI YA MTU KUWEZA KULALA NA KUPIGA NGUZO FENCE MATEKE.

Hapo kwenye ku "bypass au ku ground fence hiyo"

Umekaaje huo ufundi hapo ?

Uki ground kitu cha umeme maana yake umeme haupiti ?

Au una by pass umeme ki vipi yani ?

Na hiyo by passin na ground unaifanya wakati umeme una moto ? Hupigwi shoti wakati unafunga hayo ma bypass wires ?

Au unakuwa umezimwa ? Kwa hiyo wewe una access ya kuzima umeme ? Mtu wa ndani ? Sasa ujambazi wa nini, toka nayo getini kimya kimya , zima na camera.
 
Nadhani Fensi either ilizimwa Umeme navyohisi then hao wezi ukiwatazama unaona kuwa mwizi ana akili ndogo .

Wanauza roho kwa mambo ya kijinga Sana .
 
Huyo jamaa wa mwisho naona kaingiza mguu kwenye waya akashuka vibaya, huyo kapiga chini...kwahiyo ina maana hao watatu wote wanaenda kugawana pesa ya hiyo TV, aisee Tsh ngapi kwani Hadi watake kujivunja miguu.
Hii dunia imejaa watu tofauti sana, huko morogoro kuna mafundi wanajenga nyumba ya bosi wao, bosi alivyoondoka wakaingia ndani wakamuua housegirl wakachuku sub woofer ya laki na nusu.

Boss anarudi anakuta maiti na mafundi wamekimbia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom