Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,676
Sasa huyo ni Mwanamke au Mwanaume mwenzenu🤮Mwanamke mpumbavu utamjua kwa kauli zake za kipumbavu.
Utakuta ukoo wake mzima hakuna hata mmiliki wa bajaji, halafu utakuta mwanamke mwenye masharti ya kipumbavu Hana chura, Hana elimu, anamatatizo ya ndani kwa ndani, Hana mvuto yaani amekaa Kama mchawi Fulani hivi.
Kuna Maisha gani bila Mwanamke?Tunakaza msuli kwa ajili ya maisha yetu na sio kuwapa ninyi pesa zetu.
Nyie si ndo mnataka 50/50
Kweli una mawazo mgando, ukiacha mzazi sio lazima pesa utumie na mwanamke, kuna pombe, sigara, kamari(betting) n.k unaweza tumia pesa zako ukoKuna Maisha gani bila Mwanamke?
Hakuna Mwanaume aliyekamilika akawa na Pesa halafu asitumie na Mwanamke,
Tafuta Helaaaaaaaa
Kama pesa zako hutumii na Mwanamke basi wewe utakua UpindeKweli una mawazo mgando, ukiacha mzazi sio lazima pesa utumie na mwanamke, kuna pombe, sigara, kamari(betting) n.k unaweza tumia pesa zako uko
Huenda amezoea kupanda bodabodaNami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
View attachment 2643444
aisee wanaume tumebaki wachache sana. Mungu linusuru hili taifa.Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
View attachment 2643444
Hahahahaaaaaa eti upinde, jaribu uoneKama pesa zako hutumii na Mwanamke basi wewe utakua Upinde
siji kusau mwaka 2019 nilikua naenda zangu kununua crown athlete nlipanda bajaji na mtoto mkali sana nilimuomba namba akanitolea nje ,sasa kama baada ya wiki hvi kuna hotel nilienda kulala so ile natoka zangu asubuh pale nikamuona yule mdada anamwagilia maua ya hyo hotel kumbe alikua akifanya kazi pale ,tukagongana macho akaanza kujisheua nkaachana nae nkaenda kwenye ndinga yangu ikiwa na chasis number wakat natoka nikawa namuangalia kwenye side mirror 😅 nkamuona ameacha hta kazi akawa anashangaa tu maana nilikua na mwili mdogo pia , next time nilivoenda pale nikamkuta counter ya bar akawa anaflit kuniomba mimi number 😅😅😅 nikacheka kwa dhalau afu nikaipigia pisi yangu kali hyo balaa ije pale pale hotel ,So yule dem nikamtoa kabsa nishai .....SO FUNZO TUSIMJUDGE MTU TUSIYEMJUANami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
View attachment 2643444
Na vipi kwa sisi tunaowagonga bure bila kutoa hela? [emoji23]Kama pesa zako hutumii na Mwanamke basi wewe utakua Upinde
Huyo utakuta hata tako hana. Afu akili nazo hazimtoshiwe unalo au unatako tu ,