Video: Ukweli unaotisha kuhusu makahaba Tanzania

Video: Ukweli unaotisha kuhusu makahaba Tanzania

Mungu atusamehe tu,

Tutakufa sana kwa kuendekeza Ngono.

Asante Eliza kwa kujitanga na kuzungumzia Mengi sana.
 
Mhhh inatisha sana, eh mungu tunusuru siye mabint jaman
 
Jamii nzima tuko responsible! Pole zao, victims of circumstance.
 
Mhhh inatisha sana, eh mungu tunusuru siye mabint jaman

you are luck charty tembelea mitaa ya jiji hili usiku hasa ubungo manzese tandale buguruni mbagala nk utaona mengi ya kutisha na kusosonesha moyo
 
Mbona ndo maisha ya kawaida maeneo mengi ya Dar hell salaam..!?
 
hii biashara haiishi na ukizingatia kuna madomo zege na pia kuna wasichana wabichi wanajiuza.Na kuna wengine tunakutana nao mchana wakijifanya ni bikira lakini usiku wanauza
 
Back
Top Bottom