VIDEO:Ugandans, Rwandans among surrendering M23 rebels

VIDEO:Ugandans, Rwandans among surrendering M23 rebels

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578

UPDF confirms that some M23 rebels surrendering to the Congolese Army hail from Rwanda and Uganda but denies Kampala is supporting the M23 group. This as the last major rebel stronghold of Bunagana falls to DR Congo government forcing thousands of refugees continue to flood Uganda's border district of Kisoro.
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana kagame na m7 wako front line kuwasapoti
 
"muomgo mwongoze" alisema mzee ALHAJ ALLY HASSAN MWINYI
 
kanzu nzuri sana inayofanywa congo na vijana wetu,ktk kitu mimi nina imani nacho nchi hii ni tpdf,jeshi letu ni moja ya majeshi imara kabisa barani afrika.
 
Halafu watu tukisema, wanakuja mazuzu wengine na kudai eti tuna chuki na Kagame! Hawana hata japo ya tone la akili ya kuiuliza kwamba hivi mtu na chuki binafsi Kagame kwa minajili ipi!
 
Halafu watu tukisema, wanakuja mazuzu wengine na kudai eti tuna chuki na Kagame! Hawana hata japo ya tone la akili ya kuiuliza kwamba hivi mtu na chuki binafsi Kagame kwa minajili ipi!

hao jamaa ni sehemu ya kitengo maalum cha serikali ya Rwanda kinachofanya kazi za propaganda mtandaoni. wapo katika kila mitandao facebook, twitter, youtube, magazetini n.k. Kazi yao ni kusifia rwanda na kagame tu na kila anayepinga kwa hoja wao hujibu huo utumbo wao kuanzia chuki dhidi ya kagame, chuki dhidi ya watusi, chuki dhidi ya Rwanda, kusapoti FDLR na mengineyo mengi. Ukishawajua we wainjoi tu.
 
Some reports suggest that Ugandan minister of defence Crispus Kiyonga sent a chopper to pick up Bertrand Bisimwa to attend the peace talks in Kampala. My question is why this is happening after the rebels have been dislodged from their stronghold by the UN intervention Brigade? This in my opinion is Uganda blatantly showing that it's aiding the rebels
 
vita vya congo ni kati ya serikali ya congo,Tz,malawi na south vs rwanda na uganda.

harafu mnategemea bado kutakuwa na jumuiya ya africa mashariki! !!.

tumeingilia maslahi ya watu.na kenya alichofanya kutake advantage ya mgogoro ili afaidike na bandari yake.
 
Halafu watu tukisema, wanakuja mazuzu wengine na kudai eti tuna chuki na Kagame! Hawana hata japo ya tone la akili ya kuiuliza kwamba hivi mtu na chuki binafsi Kagame kwa minajili ipi!

If you have been carefully following MUKAMASIMBA's comments they are double edged. He's denying the involvement of Kagame at the same time bashing Tanzania committing troops to the UN intervention Brigade. Think about it! ..... why is he hurting over Tanzania and the entire SADC forces helping FARDC? You wanna waste your time engaging in arguments with such a guy?
 
kama mukamsimba ni intelijensia ya kagame basi rwanda inaingilika kama shamba la bibi mkubwa
 
bravo tpdf,ata mimi nakumbuka wanyaru walikuja na upuuzi mwingi eti jesh la waasi wanajua vita ya msituni. Je misitu imeisha ndio maana wameshindwa?rwanda alipeleka batalion 2, je zimezimikia wapi? Waamiaji wa kinyaru wamerudi na congo tumewakonoli
 
Na wenye akili zao wakawauliza, kwamba tangu lini trained soldiers waka-fail na militants!
 
Nakubaliana na wewe. We ona Majeshi ya UN yapo tokea 1999 lakini mateso kwa wananchi wa Kongo ndiyo kwanza yalikuwa kama hamna jeshi. Jeshi la Tanzania limeingia huko mwezi wa saba tu na hali ya usalama inarusi Kongo. Kwa kweli PONGEZI NYINGI KWA JESHI LETU!! Hii inaonyesha jinsi Watanzania tunavyojali sana utu, uhai na amani ya ndugu zetu majirani zetu. Tunajitolea hata kufa kwa ajili yao.
kanzu nzuri sana inayofanywa congo na vijana wetu,ktk kitu mimi nina imani nacho nchi hii ni tpdf,jeshi letu ni moja ya majeshi imara kabisa barani afrika.
 
Back
Top Bottom