kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,208
- 18,476
😆😆😆😆Kenge wa lumumba hawaonekani kabisa.Wanashabikia ujinga kuliko mambo ya msingi
ccm ni laana
Na wala hatochukuliwa hatua zozoteLa kushangaza, viongozi wa ngazi za juu wanashindwa kumchulia hatua
Yadaiwa aliweka ndugu yake Ubungo Bus Terminal ili akwapue pesa , watendaji wa jiji waliofanya vizuri akiwemo aliyepandisha mapato ya DDC wahamishwa kimizengwe kwa sababu walimzibia kupata 10% , watupwa madongo kuinama , mwingine atupwa Malinyi akapambane na ngedere !
Kwa watendaji wa namna hii awamu ya 5 yaweza kuvunja rekodi ya ufisadi tangu nchi hii ivumbuliwe .
kuhusu kupachika ndugu yake Ubungo Bus Terminal hilo unalizungumziaje ?Sipora siyo fisadi hata kidogo ubaya wa Sipora HAMWAMINI mtumishi yeyote na anafanyia mambo ya kusikia na kuaambiwa na wapambe. Pili yeye anajiona yuko sahihi kwa kile anachokifanya na hivyo ushauri wa watu wengine ni kitu cha nyongeza tu. Tatu ile dhana ya kufanya kazi kama timu moja anaikosa.
kwa hiyo ukiuliza watumishi utakuta kuna makundi ya watumishi wanaokubaliana naye na wengine hawakubaliani naye. Angesahihisha haya mapungufu aliyo nayo angekuwa mmoja wa Wakurugenzi wachapakazi, anayependwa na weledi.
Wewe unafahamika , uko kama ndondocha linalotumwa kwenye maduka ya watu kuiba hela , halina uwezo kupinga wala ku reasonMavi tupu,mtashindwa kama mlivyoshindwa kwa Makonda na mfululizo wa threads lukuki za kumponda,sana mnamtakia kupandishwa cheo tu huyu mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipora siyo fisadi hata kidogo ubaya wa Sipora HAMWAMINI mtumishi yeyote na anafanyia mambo ya kusikia na kuaambiwa na wapambe. Pili yeye anajiona yuko sahihi kwa kile anachokifanya na hivyo ushauri wa watu wengine ni kitu cha nyongeza tu. Tatu ile dhana ya kufanya kazi kama timu moja anaikosa.
kwa hiyo ukiuliza watumishi utakuta kuna makundi ya watumishi wanaokubaliana naye na wengine hawakubaliani naye. Angesahihisha haya mapungufu aliyo nayo angekuwa mmoja wa Wakurugenzi wachapakazi, anayependwa na weledi.
Kwa awamu hii huyu mkurugenzi anafaa uwaziri maana yupo vizuri kwenye mikakati ya wiziYadaiwa aliweka ndugu yake Ubungo Bus Terminal ili akwapue pesa , watendaji wa jiji waliofanya vizuri akiwemo aliyepandisha mapato ya DDC wahamishwa kimizengwe kwa sababu walimzibia kupata 10% , watupwa madongo kuinama , mwingine atupwa Malinyi akapambane na ngedere !
Kwa watendaji wa namna hii awamu ya 5 yaweza kuvunja rekodi ya ufisadi tangu nchi hii ivumbuliwe .
kisa cha wewe kumuamini huyo Sipora hivyo huku video ikijieleza wazi hapo juu ni nini ?Koryo unaweza kuwa sahihi, kwa ufisadi huyo mama hawezi hata siku moja kushiriki. Ila nijuavyo mimi ni mtu mwenye msimamo mkali.
Sent using Jamii Forums mobile app
uhuni, ufisadi na ccm ni sawa na chanda na pete. They are simply inseparableYadaiwa aliweka ndugu yake Ubungo Bus Terminal ili akwapue pesa , watendaji wa jiji waliofanya vizuri akiwemo aliyepandisha mapato ya DDC wahamishwa kimizengwe kwa sababu walimzibia kupata 10% , watupwa madongo kuinama , mwingine atupwa Malinyi akapambane na ngedere !
Kwa watendaji wa namna hii awamu ya 5 yaweza kuvunja rekodi ya ufisùdi tangu nchi hii ivumbuliwe .