Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

Kama hakuna mauaji ya mapadri haya mauaji ya kibiti kayaleta nani?
 
Kama hakuna mauaji ya mapadri haya mauaji ya kibiti kayaleta nani?
 
Ya kujilipua ni mawazo yako. Lugha inaweza kuwa ya kwenda UN, AU kutoa malalamiko. Mahakamani kudai wafikishwa mahakamani/ kesi ifutwe etc! Kwa nini mnakimbilia kwenye upuuzi wa kujilipua. Unadhani Lowasa anaweza kuwa na mawazo ya kujilipua?
Natamani niku....!!!
 
Alikwenda mbali kidogo.Ni mbaya, hasa kwa kuwa yeye ni kiongozi wa juu mstahafu and a very influential one. He was supposed to know the impact of his words to the population and hence choose wisely his words.
 
Una uhakika kesi haiendeshwi?? Unajua maana ya kuendeshwa kesi.... mkuu kaa kimyaaaa ngoma hii ikianza hutaiweza kuicheza!! Nakushauri tu mkuu ila kama hutaki... nimetimiza wajibu wangu.
 
Una uhakika kesi haiendeshwi?? Unajua maana ya kuendesjwa kesi.... mkuu kaa kimyaaaa ngoma hii ikianza hutaiweza kuicheza!! Nakushauri tu mkuu ila kama hutaki... nimetimiza wajibu wangu.
Hilo onyo kwangu kwani mimi ni uamsho ama Lowassa? Elewa Kuendeshwa kwa kesi na kesi kuwa mahakamani ni vitu viwili tofauti.
 

Yeye ana pakukimbilia, eti kuna watu wanatetea maneno ya huyu mzee! Siku ile aligeuka kuwa mpuuzi kweli kweli!!!!
 
Alikwenda mbali kidogo.Ni mbaya, hasa kwa kuwa yeye ni a very influential person. He was supposed to know the impact of his words to the population and hence wisely choose his words.
Oookkkk...lowasa should choose his words wisely but his excellency your highness the one above all your hollyness should not...kweli mkuki kwa kitimoto mtamuuu....mto ngono katerero pesa za rambirambi vilaza sitoshirikisha wapinzani hanishiki mkono halafu nimsainie malipo yake....wakileta vyoko nipigie dakika 5 ni nyingi....dahhh to mention the very few cumbersome and stupidly choosen words by his hollynes hayatollah J.P.J.M
 
Umemmaliza. Nyani hawaoni makudu yao! Yaani hayaoni ya "Mungu" yanaonekana ya Lowasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…