Video: Tamasha la albino Kenya, utanashati na urembo

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,237
50,396
Tunawaenzi na kuwapenda watu wetu hawa, Mungu awabariki.
Tamasha limebeba jina la beauty behind the skin,

Tamasha limetumbuizwa na wanamziki mbalimbali wakiwa na ujumbe wa kukemea na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino).

Maoni yangu:
Nawapongeza sana wote walioandaa tamasha hili kwani ndugu zetu albino walikuwa wamekuwa na tafsiri tofauti kwenye jamii.

 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom