Muislamu hatakiwi kutulizana tu eti kwa kuwa ni mfungo wa ramadhan bali muda wote yampasa ajitulize.Wewe Zuwena Mohamed, huu si mwezi mtukufu jamani.
Hivi hawa wakina gigy shilole na snura hawana wazazi? Hawana watoto/% kubwa ya wasanii wanafanya Mambo ambayo kwa mtu ambaye akili zimo kichwani hawezi fanya hivyo inafanya kuamini wasanii wengi as Bongo fuse zimelegea ona type za kina giggy et al? ???
Inasikitisha sana,anawaaibisha nduguze yeye anafikiri anamchoma nuhu lahasha anaaibisha family yake.Hivi hawa wakina gigy shilole na snura hawana wazazi? Hawana watoto/
Hana wazazi?Hivi hawa wakina gigy shilole na snura hawana wazazi? Hawana watoto/