Tanzania bwana yaani rais wetu anahangaika na vitu vidogo vidogo sana and unsustainable issue, utawasaidia wangapi! Weka systems,boresha huduma,weka mazingira mazuri ya kuwawezesha watu kuwa na uwezo wa kujitatulia matatizo yao wenyewe.Dah Tanzania yangu am very sorry for you
Neema Mwita aliunguzwa na moto kifuani alipomwagiwa uji wa moto na mumewe huko mkoani Mara.
Rais Magufuli amempa mama huyo msaada wa laki 5 na kuahidi kutoa hifadhi kwa watoto wake.
Vile vile Rais ameagiza Neema afanyiwe uchaguzi upya ktk hosipital ya Muhimbili.
Nimefurahishwa na jambo alilofanya Rais ila, sikuona umuhimu wa kupeleka waandishi kuchukua video kabisa wakati anaongea na huyo mama. Ingekaa poa sana kama msaada angeutoa kimya kimya bila kuhusisha media.
Nimejiuliza pia je, wapo watanzania wengi sana wenye hali kama hii au zaidi ya hii, Rais atawafanyia wote hivi kwa endapo akiwafahamu?