Naona watu humu wanafurahia kama ilivyo jadi yetu.
Hii ingekuwa imemtokea mtu mweusi huko Marekani, India au Uarabuni tungeona kila aina ya vilio na laana dhidi ya ubaguzi kutoka kila kona ya JF na Afrika kwa ujumla, vikisindikizwa na maandamano ya watu weusi katika nchi husika.
Ni kama tu ilivyo kwa wachezaji weusi wakibaguliwa kidogo ulaya tunapiga mayowe balaa, lakini kilichomkuta Dejan sasa...
Nadhani watu weusi ni race baguzi kuliko race nyinginezo zote duniani, hasa ikichagizwa na inferiority complex.