Kilimanjaro moja
Member
- Nov 30, 2012
- 67
- 33
mkuu iko wapi hiyo video?Mlipuaji alirusha bomu kutoka nyuma ya jukwaa walipokuwa wamekaa POLISI wenyewe, akilenga lilipuke juu ya jukwaa walipokuwa viongozi wa chama, Mhe mbowe, Mhe Lema, Kamanda Millya, Katibu Golugwa na wagombea wanne wa udiwani. Mkutano ulikuwa ukiendelea na ghafla bomu likatua......
Huu ni mwanzo...Ukweli wa aliyerusha bomu utajulikana...
yaani nimekuja speed na kuvaa heardphone kumbe horaaaaaaaaaaaaaaa
Mlipuaji alirusha bomu kutoka nyuma ya jukwaa walipokuwa wamekaa POLISI wenyewe, akilenga lilipuke juu ya jukwaa walipokuwa viongozi wa chama, Mhe mbowe, Mhe Lema, Kamanda Millya, Katibu Golugwa na wagombea wanne wa udiwani. Mkutano ulikuwa ukiendelea na ghafla bomu likatua......
Huu ni mwanzo...Ukweli wa aliyerusha bomu utajulikana...
Mlipuaji alirusha bomu kutoka nyuma ya jukwaa walipokuwa wamekaa POLISI wenyewe, akilenga lilipuke juu ya jukwaa walipokuwa viongozi wa chama, Mhe mbowe, Mhe Lema, Kamanda Millya, Katibu Golugwa na wagombea wanne wa udiwani. Mkutano ulikuwa ukiendelea na ghafla bomu likatua......
Huu ni mwanzo...Ukweli wa aliyerusha bomu utajulikana...
Kilimanjaro moja imekuchanganya nini?? Clipp ikowapi sasa??