Video: Nyerere Asema Ana Haki ya Kuwa Dictator

Nimeangalia video yote na hakuna hata mahali pamoja JKN ametamka eti "ana haki ya kuwa dikteta". Wewe labda Kiingereza hujui au umempakazia JKN kwa sababu za udini.

Noana nyie Waswahilina mmepewa jihad nyingine misikitini kwenu ya kulichafua jina la JKN ndiyo maana kila siku mnakurupuka na mada za uzushi na uwongo juu ya JKN.

Kama unataka mfano wa dikteka na chinjachinja wa kweli basi huna haja ya kwenda mbali > contemporary wa JKN, Alhaji AAK na family dynasty yake inayotamba hadi leo.
 
Angalia mpaka mwisho utaiona hiyo clip. Tusibishane, hayo ni maneno yake mwenyewe Mwalimu Nyerere. Sina haja ya kulichafua jina la JKN, nataka tujifunze makosa aliyofanya; ili viongozi wengine wanaokuja wasirudie makosa yale yale.
 
'under the constitution, i have sufficient power(s) to be a dictator'....he said....Hakusema ana "haki ya kuwa dikteta" 'i have the right to be a dictator' kama kichwa cha mada kinavyosema
 
Do you think he wish to be a Dictator? kwanini asiseme "Under the constitution, I have sufficient power to help poor people? Why he used a word "Dictator".
 
Ndugu, naona lugha inakupiga chenga kidogo au comprehension ndio tatizo?
 
'under the constitution, i have sufficient power(s) to be a dictator'....he said....Hakusema ana "haki ya kuwa dikteta" 'i have the right to be a dictator' kama kichwa cha mada kinavyosema

Kama alijuwa kuwa under constitution anaweza kuwa dictator kwanini hakuibadilisha constitution?Aliona noma kwasababu wenzake wangemwambia mbona wewe mwenye uliitumia katiba hiyo hiyo,alipoitumia yeye ilikuwa pouwa na akadai kuwa yeye ni mwema hawezi kuitumia vibaya kuwa dikteta licha ya kwamba katiba inamruhusu kuwa dikteta,sasa kama alikuwa na mapenzi ya kweli na watanzania kwanini hakuifix hiyo loophole?Ama alitegemea kuwa Mkapa kama mtoto wake angekuwa mwema na kukiuka katiba kwa kutokuwa dikteta?Maana kama katiba inakuruhusu kuwa dikteta halafu wewe hutaki kuwa dikteta then si umeshaivunja katiba hiyo?Mwalimu hawezi kukwepa lawama hata kidogo.
 
Angalau wewe umeelewa alichokisema na siyo huyu mleta mada ambaye hata haelewi Nyerere alisema nini.
 
Hakuhitaji kusema kama ana haki au vp,tabia yake ya kinyonga ilitosha kumsemea yeye alikuwa nani, tofauti yake na Mobotu ilikuwa ndogo sana...alifanikiwa kuwazuga akili tu wanamjuwa kuwa mtukufu, waliokaa nae na kumjua undani wake wanajuwa jamaa alikuwa muhuni tu.
 
Do you think he wish to be a Dictator? kwanini asiseme "Under the constitution, I have sufficient power to help poor people? Why he used a word "Dictator".

Who the hell do you think you are to come in here and basically dictate what JKN coulda shoulda woulda said 40-50 years ago? You can't be serious dude! Why go online to search for ancient B&W video clips of supposedly self-confessing dictators when all you really need to do is take a look in the mirror!
 
Angalia mpaka mwisho utaiona hiyo clip. Tusibishane, hayo ni maneno yake mwenyewe Mwalimu Nyerere. Sina haja ya kulichafua jina la JKN, nataka tujifunze makosa aliyofanya; ili viongozi wengine wanaokuja wasirudie makosa yale yale.

Nitajie kiongozi mwingine unaemjua ukiachana na rafikie mandela aliekua juu kwa busara, hekima ,kusimamia haki, na kupinga siasa za ubaguzi uwe wa dini au kabila au rangi barani afrika.

@Ndjabu Da Dude: ngoja watujibu hilo swali kwanza then ndo tujue jinsi ya kulijibu kiufundi zaidi, wao wenyewe huko misikitini mwao hakuna amani, kutwa nzima kugombea uongozi wakati mwalimu aliamua kung'atuka ingawa bado tulimuhitaji na uwezo bado alikua nao.
 
Hakuhitaji kusema kama ana haki au vp,tabia yake ya kinyonga ilitosha kumsemea yeye alikuwa nani, tofauti yake na Mobotu ilikuwa ndogo sana...alifanikiwa kuwazuga akili tu wanamjuwa kuwa mtukufu, waliokaa nae na kumjua undani wake wanajuwa jamaa alikuwa muhuni tu.

yeye na huyu wa sasa nani muhuni...?
 
Hakuhitaji kusema kama ana haki au vp,tabia yake ya kinyonga ilitosha kumsemea yeye alikuwa nani, tofauti yake na Mobotu ilikuwa ndogo sana...alifanikiwa kuwazuga akili tu wanamjuwa kuwa mtukufu, waliokaa nae na kumjua undani wake wanajuwa jamaa alikuwa muhuni tu.
Nilikuwa naienjoy sana hii discussion mpaka huyu ndugu alipomalizia ya kwake hapa kwa kusema jamaa alikuwa mhuni tu. Imenifanya niangalie kwenye dictionary kufikiri labda ana maana ambayo siijui nikakuta mhuni ni mtu asiyechungia wenzake heshima, mtu asiye na tabia nzuri? Uhuni wa huyu baba yetu hebu tuambie ulikuwaje?
 
so, nyerere knew kuwa katiba inaweza kuzalisha dictator na akaiwacha tu! what was he thinking?
ndio matokeo yake haya sasa, rais anafanya anachotaka, na katiba inamruhusu
 
Nilikuwa naienjoy sana hii discussion mpaka huyu ndugu alipomalizia ya kwake hapa kwa kusema jamaa alikuwa mhuni tu. Imenifanya niangalie kwenye dictionary kufikiri labda ana maana ambayo siijui nikakuta mhuni ni mtu asiyechungia wenzake heshima, mtu asiye na tabia nzuri? Uhuni wa huyu baba yetu hebu tuambie ulikuwaje?
Sikiliza ndugu...viongozi wote wahuni,madikteta Afrika walikuwa na sifa zifuatazo...you can fit in your favorite Julius Nyerere with those characters...ambazo ni kukataa kupingwa na kukoselewa na kuwashughulikia waliofanya hivyo kwa kuwauwa, kuwafunga,kuwafukuza nchini, kuwatesa n.k,kutoheshimu utawala wa sheria na haki za binaadamu...kupandikiza viongozi wabovu...kunyanganya watu mali zao kwa sera...za kiwazimu wazimu..unakumbuka Idd Amin Dada alivyowafanya wahindi...ndo vile vile Nyerere alivyofanya kupitia "uhuni" ulioitwa "azimio la Arusha" hapa tofauti yake na Amini ni kuwa Nyerere aliiba mali za wananchi wake kisomi zaidi...Idd Amin hakupoteza muda ...kakwapua tu...akatimuwamuwa.Nyerere alibana makusudi uhuru wa habari na kujieleza ili afiche uhuni uliokuwa ukifanya na askari wake kanzu zidi ya wapinzani, tafuta simulizi za L. Mwijage na A.Anangisye...labda utafunuka macho vizuri...najuwa utashindwa kuamini kwanza utaona kama vile udaku wa 'padri' kubaka kondoo wake, utaona haiwezekani...lakini yalitokea...ila tu hakukuwa na vyombo huru vya habari kuripoti..uhuni ule,na wale waliothubutu kuandika na kusema wakiwa ughaibuni walifuatwa huko huko na kushughulikiwa...haya na zaidi ya haya huyajuwi kwa kuwa tu Nyerere aliishi kulitukuza jina lake..."baba wa taifa" yaani watanzania wote hata waliomzidi umri wajione watoto tu, au "Mwalimu" yaani watanzania wote hata waliomzidi elimu na maarifa wajione ni wanafunzi tu kwake...haya hayakutokea bahati mbaya ni mbinu za madikteta wote Africa na dunia...vituko kama hivi...vya kujitukuza tukuza ili kuepesisha uhuni wa madikteta kama Nyerere mbona si vigeni...si tunamkumbuka Mobutu...majina tele ya tukuza tukuza...zipo elements nyingi tu za Mzee yule...pasipo watanzania kufunuwa vichwa vyao...wakasema hasa ile haikuwa nyeupe kama alivyosema Nyerere bali ilikuwa nyeusi kwa muonekano wake...lakini wapi kwakuwa alikua "Mwalimu" na "Baba wa Taifa", hakuwa na makosa yoyote...tukitaka mawazo ya kiuadilifu basi hatuhitaji vitabu vitakatifu bali mawazo yake tu yalitosha.
Balahau subiri jamaa waamke uone watakavyo kupinga kwa nguvu zote:rolleyes:
Kwanini wasikatae, si ni wao na wazee wao ndo walifaidika na 'Azimio la Arusha', leo tazama watoto wao walipo,baadhi yao wabunge, wengi wao ni viongozi wa asasi za juu za chama tawala na kandamizi...zikiwatayarisha kuchukua hatamu za nchi baadae.
 
Nitajie kiongozi mwingine unaemjua ukiachana na rafikie mandela aliekua juu kwa busara, hekima ,kusimamia haki, na kupinga siasa za ubaguzi uwe wa dini au kabila au rangi barani afrika.

@Ndjabu Da Dude: ngoja watujibu hilo swali kwanza then ndo tujue jinsi ya kulijibu kiufundi zaidi, wao wenyewe huko misikitini mwao hakuna amani, kutwa nzima kugombea uongozi wakati mwalimu aliamua kung'atuka ingawa bado tulimuhitaji na uwezo bado alikua nao.

Sasa wewe unataka kuuhalalalisha Udictator wa Nyerere?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom