Video: Nyerere Asema Ana Haki ya Kuwa Dictator

Nimeangalia video yote na hakuna hata mahali pamoja JKN ametamka eti "ana haki ya kuwa dikteta". Wewe labda Kiingereza hujui au umempakazia JKN kwa sababu za udini.

Noana nyie Waswahilina mmepewa jihad nyingine misikitini kwenu ya kulichafua jina la JKN ndiyo maana kila siku mnakurupuka na mada za uzushi na uwongo juu ya JKN.

Kama unataka mfano wa dikteka na chinjachinja wa kweli basi huna haja ya kwenda mbali > contemporary wa JKN, Alhaji AAK na family dynasty yake inayotamba hadi leo.

Ipo mwana, angalia ile ya pili nafikiri toka mwisho. Ametamka kabisa!!!
 
Rush to judgement, rush to judgement, with a closed mind. I am not TANU and I am not CCM. And I love Julius Nyerere. Go figure!

The fact you love Julius does not change the fact that Julius ana makosa aliyoyatenda. Kama kweli unampenda yakubali and live with it. Umewahi kuona wapi mwanasiasa mtakatifu? Politics is a dirty business, if you didn't know it know it now. Hata kama angekuwa ni baba yako mzazi
 
Nilikuwa namjibu Junius. Usirukie mambo usiyoyaelewa.
 
Its simple English stupid! Hebu mtaje mtawala angalau mmoja wa Nchi ya Kiislam ambaye ni Mwana Demokrasia.

Is Islam democratic? Did the historical figure (Warlord and merciless Butcher) Mwamedi adhere to any semblance of democracy in his dealings with people?

Halafu, how come its only Mohammedans (yourself, John10, Shamu, GayVana et al) who buy into this ignorant bullshit?

I like that, wanatema dust tu humu ndani, watutajie uongozi gani wa kislam ulio wa kidemocrasia. wauwaji wa watu wasio na hatia kila siku bila hata ya huruma alafu mnaibuka na points zenu za kipuuzi apa.
 
kwa kipindi kile ambacho watu walikuwa masikini wa kutupwa ilibidi lazima atumie udictator kwa baadhi ya watu waliokuwa na tabia ya kujilimbikizia mali.....angekuwepo hata sasa tungemsapoti kwa udikteta wa namna hiyo
 
Nimeangalia video yote na hakuna hata mahali pamoja JKN ametamka eti "ana haki ya kuwa dikteta". Wewe labda Kiingereza hujui au umempakazia JKN kwa sababu za udini.

Noana nyie Waswahilina mmepewa jihad nyingine misikitini kwenu ya kulichafua jina la JKN ndiyo maana kila siku mnakurupuka na mada za uzushi na uwongo juu ya JKN.

Kama unataka mfano wa dikteka na chinjachinja wa kweli basi huna haja ya kwenda mbali > contemporary wa JKN, Alhaji AAK na family dynasty yake inayotamba hadi leo.

DUDE umepata sacramento ya siri ndiyo maana unakuwa na pupa ya mambo kwa utamu
 
kwa kipindi kile ambacho watu walikuwa masikini wa kutupwa ilibidi lazima atumie udictator kwa baadhi ya watu waliokuwa na tabia ya kujilimbikizia mali.....angekuwepo hata sasa tungemsapoti kwa udikteta wa namna hiyo

Afadhali wewe umesema ukweli kwamba Nyerere alikuwa Dictator.
 
Nafikiri watu wengine ama ni akili ndogo mno au ni chuki isiyokuwa na maana ama ... mtu mwenye akili timamu na rational huwezi kuelewa ni nini mtu anataka kusema!! ukiangalia hiyo video na kusikiliza Mwalimu anasema kuwa system inampa madaraka makubwa mno yakumfanya awe dictator akitaka na anasema kuwa hili ni tatizo, haya maneno yamerudiwa tena na Kikwete japo kwa style ingine wakati analihutubia bunge alisema anaweza kumfunga "detain" Dr Slaa na hakuna mtu wa kumzuia naye alikiri kuwa rais wa TZ ana madaraka na nguvu nyingi mno.na kama watu wanakumbukumbu nzuri hii ndo ilikuwa msingi wa kuweka kikomo cha muda wa rais kutawala vipindi viwili tu, maana ilionekana kwamba mkipata rais mwendawazimu na akawa na ruksa ya kutawala milele inaweza kuwa shida kubwa, si mtetei Mwl. JKN sina haja maana uadilifu wake na uaminifu wake kwa watanzania unajitosheleza JKN hakuitaji wewe wala mimi kuprove hayo!! Shame on you na ujinga wako, anyway umejieleza vizuri na unajiita under age I gues siyo under age bali ni undeveloped brain sitaki kuwa provacative lakini watu kama wewe tunawaita "matahaira" (imbecile)  ebu angalia aliyoyafanya Kambarage kwa umakini sana kabla ujaanza kusema!! angalia na policy zake na intentions zake kwa Watanzania !!
Mungu ibariki Tanzania.
 
...alikuwa dikteta tuu kama madkteta wengine ingawaje hakuwa muuaji!
 
Na wewe unakumbuka kumbe?

Mtu mwenyewe si mimi mbona mnamung'unya?

Nyerere kaua watu wengi sana indirectly, mostly kwenye villagization process.Tatizo hatuna documentation kwa sababu yeye mwenyewe alikuwa ameshikilia kila kitu, naomba haya ma server na ma web-crawler yaweke hizi rekodi maana wanahistoria wa siku za mbele watakuja kuthibitisha tu vitu hivi.Tukumbuke ndiyo kwanza miaka kumi tu tangu afe na watoto zake bado wako kwenye system kwa hiyo hawawezi kumuumbua baba yao, ngoja siku moja hata miaka hamsini ijayo wakichukua wapinzani nchi hii- kama na wao hawatakuwa infatuated na Nyerere kama wanavyoboa sasa hivi, na kama kile kizazi chote kilichoshuhudia mambo haya hakijafa- ukweli utajulikana tu. Vibabu wabongo mpaka leo wanajua hili , sema hulka yetu ni woga, hatuwezi kusema.
 
Tatizo mimi naangalia deeper katika chain of command and responsibility, kama rais anatoa orders za kijinga zitakazoua watu, at the end of the day the buck stops at his desk.
 
Back
Top Bottom