VIDEO: Nilizadhani kiboko hana maadui

VIDEO: Nilizadhani kiboko hana maadui

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
Aisee kweny maandiko mengi ndan ya mtandao wanasema kiboko hana maadui lakin awa jamaa fisi wamemla nyama live bila chenga

Hamna kitu hapo wataambulia
Walimtafuna tu hachomoki hapo, fisi wana kawaida ya kuitana. Huyo alichelewa kurudi kwenye deep water baada ya kutoka usiku kwenda kula, anarudi anakutana na Hyena Clan. Amelala hivyo chini kulinda tumbo (belly) maana ndio lina ngozi laini.
 
Hata uwe unatisha vipi, watoto wa mjini wakikuamulia jua halizami kabla hawajakutia vidole
 
Fisi na mbwa mwitu huwa wanakula wanyama wengine huku mwenyewe akijiona anavyoliwa.
 
Walimtafuna tu hachomoki hapo, fisi wana kawaida ya kuitana. Huyo alichelewa kurudi kwenye deep water baada ya kutoka usiku kwenda kula, anarudi anakutana na Hyena Clan. Amelala hivyo chini kulinda tumbo (belly) maana ndio lina ngozi laini.
Wataishia kumtia majeraha tu ila kuondoka hata na kipande cha nyama ni ishu giza likiingia anarudi majini......
 
Mimi hupenda sana kuangalia documentaries za mbuga za wanyama na hawa fisi siwapendi hata chembe.
Fisi washenzi sana,
hata najiuliza ni kwanini wachawi wanasafiri na fisi na wala sio hata mbuzi hiv😂😂
 
Wataishia kumtia majeraha tu ila kuondoka hata na kipande cha nyama ni ishu giza likiingia anarudi majini......
Kama wanatafuna mifupa watashindwaje kutafuna minofu?
 
Mimi hupenda sana kuangalia documentaries za mbuga za wanyama na hawa fisi siwapendi hata chembe.
Fisi wanakera sana , utakuta wanakula mnyama mzimamzima yani wanamtoboa tumboni machango yanatoka nje huku wanamla aaagh
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom