VIDEO: Najma amfundisha Baraka Da Prince kiingereza kwa kisses

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
Baada ya uvumi kuwa Baraka da Prince alishindwa kuongea kiingereza au hajui kabisa ila Najma ndo mkalimani wake wapenzi hawa wawili wapost video mtandaoni Baraka da Prince akifundishwa kiingereza kwa mahaba!

Aibu zingine bwana.

Mpaka mie nnae tazama naona aibu. daah

AIBU YA NINI SASA? AMEKUBALI HAJUI NA ATAKA KUJUA SASA TATIZO LIKO WAPI?

NI VIZURI KUJIKUBALI NA KUTAFUTA MSAADA NA WENYE NIA KAMA YEYE WASIOJIFICHA WANATUMIA MUDA MCHACHE KUONGEA KINGEREZA SAFI KABISA.

WEWE MCHEKE SIKIA AIBU SOON UTAMUONA ANABONGA ORGANIC YAI.
 
raha sana ngoja nitafute kiserengeti sasa hawa wazee wapo busy mara watumbuliwe majipu,mara ukuta , pressure tupu wanamuota tu magufuli,ila vivulana hv havina haraka na maisha raha tupu
Watu hatufanani wengine tunatafuta wazee hawana presha vijana hawajatulia
 
raha sana ngoja nitafute kiserengeti sasa hawa wazee wapo busy mara watumbuliwe majipu,mara ukuta , pressure tupu wanamuota tu magufuli,ila vivulana hv havina haraka na maisha raha tupu
Nipo hapa hata usiende miles nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom