Video na picha zinazodaiwa ni za Harmonize zasambaa kwenye mitandao

Nachoombea kwa sasa ni mleta mada asiwe wa kiume
Hujaeleweka !!!
Kwamba akiwa wakiume hawezi kupost habari zinazo trend za mtu mashuhuri katika jamii ,

Na kuomb wadau watoe maoni kwa public figure Hawa ,

Ujinsia wake unahusika vipi???
 
Hujaeleweka !!!
Kwamba akiwa wakiume hawezi kupost habari zinazo trend za mtu mashuhuri katika jamii ,

Na kuomb wadau watoe maoni kwa public figure Hawa ,

Ujinsia wake unahusika vipi???

Easy.....hayo ni maombi yangu

Wewe wala usipate nayo tabu
 
Harminize, chukua na wewe time, usiwajibu sasa hivi..waache waropoke weee, wadanganye weeee,upepo ukitulia na wewe rudisha makombora,kumchinja kobe kunahitaji timing, timing is what you should have in mind for now..lol
Hana hiyo akili, wenzake walitulia tu walikuwa wanamtafuta kimya kimya hatimae kanasa. Yeye akili za bangi anahangaika kujibu.
 
Katika hali ya kustaajabisha recorded video call na picha za sehemu za Siri za msanii harmonize zaavujishwa;

Inasemekana aliyekuwa girlfriend wake( bongo movie )akishirikina na maasimu wa msanii Huyu wavujisha picha hizo..
Huyu ndiye Jiwe alipendekeza awe mbunge, dah ukistaajabu ya huyu msanini utashangaa ya Gwajiboy ambaye yeye yuko mjengoni kabisa.
 
Back
Top Bottom