Kitendawili natega, natega kitegueni
Tegueni bila woga, nasubiri kwa hisani
Kuna kijungu chapwaga, bila ya moto jikoni
Kama mmeshindwa mpeni mji Mama atutegulie mwenyewe kitendawili chake
Ameshapoteza dira huyu!
Kama ulivyo wewe dikteta, nyumbani kwako ndio wajua kila mtu dikteta.Anamanisha yeye ataweka rekodi ya kuwa dikiteta wa kwanza duniani mwenye jinsia ya kike.
Kama ulivyopeteza dira wewe, kwa wajuwa kila mtu, kapoteza dira.Ameshapoteza dira huyu!
Wewe ni muimbaji taarabu, ndio wajuwa kila mtu ni muimbaji tarabu kama wewe.Duh ishakuwa nchi ya taarabu sasa.
Bint, una hasira sana, dikteta wa mtaani wewe.Kunywa maji mengi mama hasira zipoe Sawa.
Dada mbona hasira sana. Kama hujala sema nitume na yakutolea.Wewe ni muimbaji taarabu,ndio wajuwa kila mtu ni muimbaji tarabu kama wewe.
Bint mbona unachanganyikiwa sana au umekalia kitu chenye ncha.Dada mbona hasira sana. Kama hujala sema nitume na yakutolea.
Madikiteta wa kike mnazidi kuongezeka tu.Bint,una hasira sana,dikteta wa mtaani wewe.
Mama ni li utopolo kabisa! Linaendeshwa kwa remote? Bure kabisa! Halija-fit kwenye kiatu hata 1/5 ya Magu!Kama ulivyopeteza dira wewe,kwa wajuwa kila mtu,kapoteza dira.