Video: Mwenye kuweza ategue Kitendawili cha Rais Samia

Ngoja nimuite mke wangu mwalimu wangu wa kiswahili ila naamini atatengua
 
Kwamba yeye ni Rais lakini hana historia kubwa katika uongozi lakini ataajabisha watu kwa kuifikisha Tanzania kwenye nchi ya maziwa na asali, nchi aliyoiona Magufuli.
 
Kuna kakikundi kanabip wakati hakana salio la kupiga kanategemea upepo upulize moto uwake.
 
Kitendawili natega, natega kitegueni
Tegueni bila woga, nasubiri kwa hisani
Kuna kijungu chapwaga, bila ya moto jikoni

Kama mmeshindwa mpeni mji Mama atutegulie mwenyewe kitendawili chake
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom