Video: Mtoto mdogo akipigana na baba yake

Video: Mtoto mdogo akipigana na baba yake

Sometimes unakuta ugumu wa maisha unachangia, Mzee kavurugwa na mtoto pia. Madhara ya kuzaa uzeeni, mbona dogo kashindwa kubatle na bi makubwa?
Mkuu unamwonaje bi mkubwa, yaani unataka heavy weight na feather weight waingie ulingoni? Nyerere alisema "It is murder!"
 
Baba: ww n mkungu 😂

Ila h video kama vile inachekesha
 
Back
Top Bottom