ni nomaa mazee, unatumia mbinu zote bado holaaa!! nyonya kitovu bana, hata kama umelala doro kiasi gani 90 Degrees lazima
Mchumba na mimi nataka kuujua mtarimbo,kwani ndio kitu gani? au chakula?
inawezekana mpwa Xpin HAMLISHI MTARIMBO, hebu mpwa tueleze vizuri kwanini shemejibinamu hadi leo haujui mtarimbo????teh teh teh ZD unataka kuujua mtarimbo? eti unafikiri ni chakula lol! yawezekana ila kuwa ni chakula,lakini si chakula cha mwili kama unavyokula vyakula vingine,chenyewe ni tofauti kabisaa
ila nina imani huwa unakula
hahaaaaaaa, leo Iribini lazima useme huo mtarimbo hapahapa tena kwa uwaziinawezekana mpwa Xpin HAMLISHI MTARIMBO, hebu mpwa tueleze vizuri kwanini shemejibinamu hadi leo haujui mtarimbo????
inawezekana mpwa Xpin HAMLISHI MTARIMBO, hebu mpwa tueleze vizuri kwanini shemejibinamu hadi leo haujui mtarimbo????
hahaaaaaaa, leo Iribini lazima useme huo mtarimbo hapahapa tena kwa uwazi
Hehehe! Wa Gadner! Nyie wanawake mna mafumbo sana! Gardner asivyoelewa utamkuta naye anaucheza kwa raha zake! Stuka Gadna!
Haya bana! Ni kining'inio cha baba! Umeelewa sasa?
Acha umbea,wimbo huo katunga Gadner
gadner amechukua ideal tu,huo wimbo wazamani haumbwi hivyo unavyoimbwa huu wa Machozi band.Mkuu umenifumbua macho sana tu, mimi nilidhani ni ubunifu wa kijana kumbe na hii ni plajarizimu pyua.
gadner amechukua ideal tu,huo wimbo wazamani haumbwi hivyo unavyoimbwa huu wa Machozi band.
Jamani kuweni waangaifu na hao maneno yenu.
hahahaaaaa, mzee naona umebadilisha mzigo!!.Leo wapwa sijielewe elewi sijui nikaboost maana dah
naona kumekucha. mmeshaamka? goodmorning mtanzania mwenzetu.
eeeeh we bht ina mana bado hujajua maana ya huo mtalimbo? ni PM nikuambie mp....zi,kining'inio?? bwana eeh niambie mi ntafute kwenye kamusi ya TUKI hilo neno kam lipo maana nachelewa kutoa mchango sasa offtopi nyingiiii
Sasa si uniambie jamani binamu jina halisi la kiswahili sanifu,Ili niwe na uhakika ninakula nini?Mbona mafumbo yanazidi? tena unasema si chakula cha mwili,mie huwa nakula chakula cha roho(neno) kila siku,basi huu mtalimbo utakuwa chakula cha nafsi au sio? tuondoleeni utata kwa kiswahili sanifu.teh teh teh ZD unataka kuujua mtarimbo? eti unafikiri ni chakula lol! yawezekana ila kuwa ni chakula,lakini si chakula cha mwili kama unavyokula vyakula vingine,chenyewe ni tofauti kabisaa
ila nina imani huwa unakula
mkubwa we pia kuwa mwangalifu na matumizi ya maneno vinginevyo utatupotosha bana
Kwani huu mtarimbo mpaka mtu mwingine akulishe? wewe mwenyewe huwezi kujilisha? kwani wewe GP huwa anakulisha nani huu mtarimbo?inawezekana mpwa Xpin HAMLISHI MTARIMBO, hebu mpwa tueleze vizuri kwanini shemejibinamu hadi leo haujui mtarimbo????
hahahaaaaa, mzee naona umebadilisha mzigo!!.
vp mechi ya jana iliisha ngapi ngapi??
ulipo wewe,mie hata siogopi kurudi tz kwa hofu ya kunyimwa visa ya kurudi au kokasa nauri.niko bongo nakula kiulaini wala sibebi boksi